Haya mambo huwa yana ugumu wake.
" Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha"
Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia ahadi hii ya uaminifu katika ndoa wakati mkewe Kishoa atakapopambana na kada maarufu tena daktari wa...
Wadau eeh! Its time.
Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo.
Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida.
Wale wenye urembo wa...
WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao.
Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao Mzazi, Baba huyo aliingia kanisani akiwa na Dada yake na kusema ndoa hiyo isifungwe kwa kuwa Maharusi...
Ndoa inajengwa kwenye msingi wa ukweli, uwazi na kuaminiana.
Ni jambo jema mke/mume kujua kazi yako, unapofanyia kazi na hata kipato chako, lakini kuna mambo ukiyaweka wazi tatizo litatokea.
Mfano wapenzi hupenda kuuliza maswali kama vile: uliwahi kudate wanawake wangapi? Kama idadi ni kubwa na...
Mabinti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa naye kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa watakaokuwa wanamaliza masomo na kutafuta kazi. Pia nitazungumzia na ushoga jao haupo katika ilani lakini...
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume.
Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine.
Hali inaweza kuwa tofauti...
Tatizo kubwa ni kwamba tunaishi mtaa mmoja.
Alipata bwana mpya akaniacha kwa matusi na kejeli. Nami nikapata mpenzi alipojua akaanza kumlisha maneno mpenzi wangu kwamba mimi sifai ndo sababu aliniacha. Mpenzi wangu aliponieleza iliniuma ila nikajitetea kwamba anichunguze kama aliyoambiwa ni...
Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na dada eti nasubiri siku ya ndoa ndio tukwichi kwichi Uvumilivu na ujinga huo sina. Nikae nasubiri...
Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii.
https://t.co/pDXnXxa4zD
Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.
Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa...
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao.
1. Wanasiasa
2. Manesi
3. Masekretari
4. Askari/ Wanajeshi
5. Wanasheria
6. Wafanya biashara wanaosafiri safiri
7. Air hostess
8. Wasanii
Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa...
Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza...
Mkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna kuchelewa kufika nyumbani, muda wote unatamani muwe wawili tu kwenye eneo lenu la kujidai.
Vijana...
Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?!
Money Penny: kwanini?!
Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama ananilioiza mahari aliolipa
Money Penny: analipizaje sijaelewa
Mdau: huko kitandani ananifanya Kwa nguvu...
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa...
Wakuu habarini za kazi, poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri.
Tuingie kwenye point, kiukweli mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa member wa muda mrefu sana wa JF toka nikiwa na miaka 21 katika kusoma comments za watu mbali mbali...
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana...
Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu.
1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa:
Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.