mungu

  1. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Vitu 7 anavyovichukia mwenyezi Mungu

    Methali 6:16-19 Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya 1.kiburi, ulimi 2.mdanganyifu, 3.mikono inayoua wasio na hatia, 4.moyo unaopanga mipango miovu, 5.miguu iliyo mbioni kutenda maovu, 6.shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Dini zinazosemekana ni za mungu zinabariki yote haya

    Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Mungu, kwanini uliumba Idd Amin Mama?

    Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Haijalishi wewe ni nani kumbuka Mungu yupo kazini kwa kasi ya juu sana juu ya Tanzania

    Mungu mwema wakuu, kila mmoja kwa imani yake . Mada yajieleza Wana wa Mungu popote mlipo msijisaulishe ,Mungu yupo kazini kuliko wakati mwingine wowote juu ya Taifa lake . Tafadhali sana lingana na nafasi yako ulionayo usivuke mstari mwekundu , maana wenda kesho kutwa malipo kwako yakawa...
  8. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Neema ya Mungu

    https://wingulamashahidi.org/2024/10/11/vigezo-vya-neema-ya-mungu/ Warumi 6:1 Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? 2 Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi? Tito 2:11-15 Maana neema ya Mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote...
  9. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Ewe MUNGU ijaze Tanzania mvua kesho ubao usome 0_0 si kwa wakutoka Wala wakutiki

    Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sativa na Sarungi mbarikiwe kwa kazi ya matashi ya Mungu

    Mmejitoa mhanga , but Thank God you are somewhat safe! Kosa la POLEPOLE msilifanye! Msije huku Tanganyika! Mbarikiwe sana
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa manabii wawe na subira na wasimfundishe Mungu kazi

    Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama urais unatoka kwa Mungu, je, Idi Amin, na maimla wengine nao walitoka kwa huyo Mungu?

    Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu! Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli? Je, madikteta...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kidola, kukosa kuwajibishana na Uchawa kumeua Mwendokasi na leo vimeangusha Treni; Mungu aepushe visije vikaangusha serikali

    Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI. Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono na hadi tarehe 29 atapiga pigo jengine palepale kwenye mshono kama si kusugulia chumvi. Uchafu...
  15. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Kumpenda Mungu

    Yohane 14:15-20 “Mkinipenda mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Yeye ni Roho wa ukweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini nyinyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu. Yn 14:23...
  16. M

    JamiiForums Tanzania "Mafwele" ni mpango wa Mungu

    Inawezekana haya yanayoendelea huku Mafwele akiwa mtuhumiwa maarufu ni mpango wa Mungu. Mimi kama mkristo msoma biblia mzuri nimeona labda haya yote yanayotokea ni mpango wa Mungu na huyu Mafwele anatumika tu kutekeleza hiyo mipango. Mafwele ni mtu wa serikali na kama tunavyosoma kwenye biblia...
  17. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Mungu Atakuinulia Watu Wa Kukataa Ubaya Unaotaka Kutendewa

    Yer 26:16 SUV [16] Ndipo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani, na manabii, wakisema, Mtu huyu hastahili kuuawa; kwa maana amesema nasi katika jina la BWANA Mungu wetu. Hapa tunaona nabii Yeremia alipokuwa kwenye hatari ya tishio la kuuawa kwa sababu alitoa ujumbe mgumu kwa watenda mabaya...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar: Tukikubali kuvunja amani tutamwambia nini Mungu?

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zubeir Ally, amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani, maadili na ustawi wa jamii, hasa katika kipindi hiki ambapo Taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025...
  20. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo mbali kwa waliokata tamaa na kukosa Imani ila yupo karibu kwa wanaomwamini

    Yer 23:23 SUV [23] Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. Zamani katika agano la kale Mungu alionekana yupo juu mbinguni, na mara nyingi alizungumza na watu wake kupitia kwa manabii. Jambo hili linaweza likawa ndani ya baadhi ya watu, wanaweza kufikiri Mungu yupo...
Back
Top Bottom