The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,711 Nov 3, 2025 #1 Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,212 Reaction score 4,477 Nov 3, 2025 #2 Dah inaumiza sana kwanini sisi tu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,508 Reaction score 100,952 Nov 3, 2025 #3 Unaua vijana wanaotafuta kesho yao? Na sasa unataka Suluhu? Mtakufa kifo kibaya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,351 Reaction score 197,844 Nov 3, 2025 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 8,003 Reaction score 18,402 Nov 5, 2025 #5 Ni aheri mwanamke asingelizaliwa. Kuzaliwa kwake imekuwa ni majonzi ya wanadamu wengi.