Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA MSAMAHA"
Wamama wanalia sana katika maombi, wameteswa, vizazi vyao vimeharibika ila watesi wao ndio...
Maisha ni safari ndefu na changamoto nyingi..!Hofu nyingi na kukata tamaa kwingi..!
Na ni jambo la kawaida kibinadamu kukumbana na nyakati ambapo imani ya maneno haitoshelezi kukabiliana na hofu za maisha.
Mara nyingi tunashindwa kumtegemea Mungu kwa sababu tunamfahamu kupitia simulizii na...
Miaka 7 iliyopita nipitia katika changamoto kubwa ya mahusiano yangu na Mungu.
Katika kipindi hicho chote Mungu alikuwa mwaminifu katika maisha yangu , mambo mengi ambayo hata sikuyaomba Mungu alinifanyia kwa upendo
Maisha yalikuwa mazuri katika upande wa familia, watoto, uchumi nk kwa kweli...
Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama...
Kada mashuhuri wa CCM Saidi Mwaipopo (sheikh?) kasema CCM ni chama kisichoweza kushindwa hivyo akasema watanzania wamuachie Mungu.
Msioamini kuwa Kuna Mungu kina Nyani Ngabu kazi kwenu.
Nini maana ya Shukrani?
Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake
Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na sadaka
Mambo ya msingi katika kumshukuru Mungu
Jambo la kwanza
Moyo wa shukrani
Moyo wa shukrani ni...
Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu.
Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana, viginevyo mtakufa vibaya sana.
Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukumu mema na zingatia hili.
Thanks
Habari wakuu,mara ya mwisho nilisimulia hapa jinsi ambavyo nilipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu baada ya kupoteza kazi ikafika kipindi nakosa hata shilingi 100 ndani na nina familia ila baada ya kuattend maombi ya fulani mambo yakafunguka hapo hapo
Story yenyewe hii hapa...
Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji.
Biblia inaonyesha kwamba wanadamu walitokana na familia ya kwanza ya Adam na Hawa na wakaendelea kuongezeka kwa...
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Nikiendelea na harakati ZANGU za usafi wa mazingira, nikafikiri hatuwezi kuweka mazingira safi pekee ilihali nguo zetu haziko safi.
Sasa nimekuja na sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, angalizo, bado sija sajiliwa natengeneza kama mjasiriamali mdogo nipo kwenye utaratibu wa kufuata Sheria...
Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu
Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja kutuonesha ushahidi wa wazi ambao ungefanya tumuamini, zaidi kaacha binadamu ndio watangaze uwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.