mungu

  1. instinct desire

    Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  2. instinct desire

    Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Walikufa kwa ajili ya watu. Lakini walisalitiwa. Mungu wa Tibeli awasamehe makosa yao kwa gharama ya Waliowaua. MO29.

    WALIKUFA KWA AJILI YA WATU. LAKINI WALISALITIWA. MUNGU WA Tibeli AWASAMEHE MAKOSA YAO KWA GHARAMA YA WALIOWAUA. MO29. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuhani katika Hekalu Jeusi. Haya nayo yaliniumiza sana. Sikuwahi kuumizwa katika maisha yangu kama siku zile. Hata mapenzi hayakuwahi...
  4. MIXOLOGIST

    Nina Kurudishia Ee Mungu Wangu, SIFA NA UTUKUFU

    Ni hivi, ukila ukashiba unafikiri wengine wote wamekula au wameshiba; Ukiamka na afya njema asubuhi unafikiri wengine wote wameamka na afya njema; Ukiwa unaishi unawaza watu wote wako na maisha yao kama yako; Ukitembea mjini na kurudi nyumbani salama, unafikiri watu wote wako kwenye miji...
  5. bless on

    Dunia ya Mungu vitu vya mzungu? Wabongo tunatengeneza nini?

    Yaani Bongo bado sana, hivi hatushtuki? nguo za mzungu, viatu vya mzungu, mpaka chandarua uliyolalia ni ya mzungu! simu ya mzungu, Sisi tunatengeneza nini? Shule zenyewe tunazosoma ni mfumo wa mzungu, tunakaririshwa madudu ambayo hayatusaidii kupata hata ugali wa kila siku bila kuomba ajira...
  6. Yoda

    Kwanini Mungu hakutaka watu wa Babeli washirikiane kufanya mambo makubwa kwa ni moja na umoja ?

    Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya. Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja...
  7. Yoda

    Sheria za Mungu za kale za maadili zinaweza kuwa suluhisho kwa kizazi hichi?

    Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira. Kumbukumbu la Torati 22: 13-21 13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia, 14. Na kumsingizia mambo ya...
  8. instinct desire

    PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  9. instinct desire

    Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya. Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
  10. Kigongoi kwetu

    Watekaji wanamjua Mungu?

    Najiuliza mara nyingi kundi la hawa watu! Hivi ni kweli mmeamua kutumiwa kuteka kupoteza pumzi za wanadamu wenzao? Kwenye mazingira hayo wewe upon kundi la Mungu au la shetani? Unajisikiaje wazazi;watoto,mke/mume Wana haha kumtafuta ndugu Yao ambaye ww umemteka na kumficha?
  11. jamaikatz

    Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa? Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu? Sisi...
  12. R

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  13. a sinner saved by Christ

    Mungu anaangalia vyote matendo ya mwili wa nje na ndani yako

    ## 🚨 KUTAZAMA PICHA,VIDEO ZA PORN AU KIMTAZAMA MWANAMKE KWA KUMTAMANI,TAMAA YA NGONO HUFUNGUA MILANGO YA KUKARIBISHA KUALIKA MAROHO,MAPEPO,MAJINI MABAYA YA UHARIBIFU KWAKO NA KURUHUSU VIFUNGO VYA KIPEPO… NA WENGINE WENU MNAISHIKA MNAFUNGULIA WAZI MILANGO YA MTU WAKO WA NDANI KURUHUSU KUVAMIWA...
  14. R

    Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

    Tumefika huku! Time will tell!
  15. Tlaatlaah

    Ni vizuri kumtanguliza Mungu na kuongeza umakini katika kila kitu unachofanya kuelekea mwisho wa mwaka 2026

    Umakini katika kazi, umakini katika biashara, umakini safarini au kwenye starehe n.k. Nadhani sote ni mashahidi kwamba, kuelekea mwisho wa karibu kila mwaka, hua kuna kuna matukio yasiyo mazuri kuskia au kuyaona. Hua kuna matukio ya kuhuzunisha sana. Na kwa mtazamo wangu, naona kama tayari...
  16. D

    Ahsante Mungu, Raisi wa bunge la Ulaya kaumbuka; karma ya kumpotezea mstahiki wa kweli, Bob Wine, yamlamba🙏🙏

    Ni Bob Wine pekee kutoka ukanda huu wa afrika mashariki ndiye aliyestahili kushirikishwa kwenye hizo tuzo. anapambana nyumbani (Uganda), hajawahi kukimbia Wala Hana passport ya nchi nyingine mfukoni. hatumiki na mabeberu, anapambania kweli Waganda familia yake ipo Uganda kama yeye, hajaificha...
  17. mirindimo

    UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

  18. Frank Wanjiru

    Kawaida: Ukimwacha Mungu na Mtume anayefuata ni Rais Samia, hakuna mwingine

    Kwa hiyo huyo 'Daktari' Samia Suluhu Hassan anamzidi hata Yesu Kristo pamoja na manabii na mitume wote waliomtangulia na kuja nyuma yake ukiachia huyo 'Mtume'? Tunasubiri kusikia hiyo 'past tense' yako Bw. Kawaida. Kumbuka kuwa hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na yeye aliwahi...
  19. Bongo PMC

    Nimepigwa na butwaa, saa tisa usiku mtu anapiga kelele za maombi kwa lugha hata haieleweki

    Heshima yenu, wakuu. Leo nimejiuliza maswali mengi baada ya kuamshwa saa 3:57 usiku na kelele za hapa nilipo ugenini. Kwa kweli, nilishikwa na butwaa. Imagine mtu anapiga kelele kwa nguvu, sijui kama ni maombi au anataka kufanikisha nini. Hata matamshi anayoyatoa siyatambui kuwa ni ya lugha...
  20. Yoda

    Umewahi kuisikia sauti ya mungu? Unatambuaje akikujibu maombi?

    Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ? Huwa wanasikia sauti yake mungu?
Back
Top Bottom