Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu
Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu
Mtumishi wa Mungu wa hapa...
Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana.
· Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ?
Bado ni kijana...
Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer.
👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi.
Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa!
Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
Tujitafari,
Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani.
Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
Huyu anajiita Mromani Katoliki, huyu yeye ni mfuasi wa mafundisho ya Warumi na miungu ya Kirumi, si mfuasi wa mafundisho ya Yesu Kristo. Ndio maana hata akitaka kubatizwa, atabatizwa kama wabizavyo Warumi.
Huyu mwingine ni Mlutheri, ni mfuasi wa mafundisho ya Martin Luther, sio mfuasi wa...
Jinsi ufalme wa Mungu unavyofanya kazi ni mfano wa ufalme au serikali inayofuata SHERIA zilizo katika katiba katika kutoa hukumu A HAKI kifupi ni kama mfumo wa MAHAKAMA ya haki.
Mungu akiwa kama HAKIMU
(2 Wathesalonike 1:5
kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki
YESU malaika wa Mungu kama...
Mwenyezi Mungu amesema:
"Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13)
Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari.
Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu."
Utangulizi
Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu:
Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ
zaburi 23
Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso.
Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu.
Hata kama unapitia magumu kiasi gani haijalishi majaribu mazito na makubwa kiasi gani unayoyapitia...
Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva)
Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke.
Ndio maana hata baada ya Adam kushawishiwa kula tunda lile na kujificha mwenyezi Mungu alipo...
Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva)
Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke.
Ndio maana hata baada ya Adam kushawishiwa kula tunda lile na kujificha mwenyezi Mungu alipo...
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
MUNGU AMESAHAU DHAMBI ZETU!!!
"A KINGDOM FORGIVENESS STANDARD: A PRAGMATIC APPROACH"
Amani na Salama 🙏🙏🙏
Ninayo FURAHA na ujasiri mkubwa kukupasha habari hii njema Sana! "Mungu AMESAHAU DHAMBI ZETU 🔥🔥
KIVIPI? Fuatana nami . ....!!!
Ni ndoto ya Kila binadamu mwovu kumsahaulisha mdeni wake😁...
Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.
Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU.
Yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.