Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea.
Una story yoyote ya hivyo? Karibu uchangie maoni kwenye huu mjadala.
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema zake. Kwani bila yeye tusingeweza kufika hapa binafsi mimi ni muumini wa HAKI kwa sababu haki siku zote ndo huleta amani.
Basi kwa imani yangu naamini Mungu wa Isaka, Yakobo, ndiye Mungu wangu mimi pia ivyo kupitia yeye hii vita ya Haki...
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT.
Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu.
Kila siku watawala wapo busy kutengeneza mazingira ya kugukuza...
Kila kitu kitakufa Wazi.
Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !.
Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako.
Haw wasengee wameua sana
Solution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja.
TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na watawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho kifaa ni mwanadamu.
Kila mtengenezaji wa kifaa anajua muundo wa ndani, waya gani unaenda wapi, program...
Rais Samia leo katika ufunguzi wa bunge jijini Dodoma amemalizia kwa kusema
Rais Samia amesema Namuomba mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita usipimwe tu kwa vitu, majengo na vitu vinavyoonekana bali kwa tabasamu la utu litakaloachwa kwenye nyuso za watanzania
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.
Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,
Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?
Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
1.miaka miwili ijayo kuanzia sasa ni miaka mibaya sana ya shida kubwa/dhiki kubwa mateso makali ambayo haijawahi kutokea..Watu wa Mungu watapitia changamoto..na hapo ndio utajulikana kama unampenda
Mungu kweli na unampenda kweli na kama umeokoka kweli.
Waabuduo halisi watamuabudu Mungu...
Ni wendawazimu pekee wanaoweza kufurahia ushuzi huu nchini eti kiongozi mkubwa kabisa anaongea utumbo mbele ya vyombo ya habari eti walipigwa risasi sio watz ni raia kutoka nje, wakati watoto wetu dada zetu na wajomba zetu wamepigwa risasi wakiwa nyumbani swali hawa ni raia wa kigeni? Nahisi...
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!
Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.
Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
Dar ni automatic sauna
Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu.
Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
Bwana asifiwe!
Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7
Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu?
Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X,
Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.