Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026. Litakuja jinamizi na kuanza kumalizana wenyewe kabla Mungu hajaweka watu wake kuongoza nchi. Mungu alianza kuanzia 2021 lakini naona watu wanafikiri yametokea tu sasa bahati mbaya waliochukuwa madaraka hawakuelewa wakafikiri wenyewe ndiyo...
HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki.
2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
Kuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Nani alioina ikiumbwa? Kwani kila kitu lazima kiumbwe.
Mbona vitu vingine vinaweza kuzuka? Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu lazima kiumbwe kwa vile mnaamini katika ujinga huu.
Kuna vitu hatujui na hatutaki kukiri kuwa...
Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia?
Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia?
Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa.
Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
Tanzania ina utajiri wa matepeli waitwao wachungaji wakati ni wachunaji. Mfano tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga.
Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu...
Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi...
Ewe Mungu Muumba wa mbingu na nchi jidhihirishe sasa! Wewe tuu ndio mwenye uwezo wa kupanga nani aishi na nani asiishi na sio wanamtandao au mafwele!
Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini huji kutuokoa katika ziwa hili la serikali dhalimu ya wanamtandao???
Ndugu polepole kwa sasa...
Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?
Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA
Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo!
Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi bilioni 2 ikizidi hapo basi uwe ni ugonjwa na aafe tu.
Nasema hivyo kwani roho mbaya zinawaandama...
Registered Trustees of Alliance for Change and Transparency [ACT Wazalendo] and Luhaga Joelson Mpina vs Registrar of Political Parties and Attorney General (Miscellaneous Civil Cause No. 23617 of 2025) [2025] TZHC 5816 (26 September 2025
Citation
Registered Trustees of Alliance for Change and...
Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko.
WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.
2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane...
Ushawahi kujiuliza kuwa wale watu waliokuwepo kabla ya dini yako kuja wataenda wapi? Mbiguni au motoni?
Dini inakufanya ukae mbali na Mungu wakati umekaa nae hapo pembeni yako.
Dini inakufanya ukae mbali na ukweli wa asili yako ili ukumbatie stori za kusadikika na kufikirika.
Dini...
Yer 1:6 SUV
[6] Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto.
Watu kama Yeremia wapo wengi Leo, wanaotazama hali zao za nje, au mazingira yao, udogo wao, na mambo mengine mengi.
Wanapochaguliwa na MUNGU kumtumikia katika eneo Fulani, huanza visingizio vingi vya...
Josephat Gwajima, askofu kidhabu wa kujipachika aliwahi kusema kuwa kazi yake ilikuwa bora na kubwa zaidi ya urais. Alipopewa ubunge alisahau yote.
Alisahau kuwa maneno yanaumba. Sasa ameumbuliwa. Nadhani sasa ameamini kuwa Mungu si wa kudhihakiwa. Gwajima kafanya utapeli mwingi.
Mara...
Maisha ni safari ambayo unakutana na matukio mengi njiani , muombe Mungu mabaya uliyowahi kuyasikia yakiwakuta wengine wewe yasikukute na pia usifurahie matatizo ya wengine maana kesho yako ni fumbo , usiseme ukamaliza weka akiba ya maneno
Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?
Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?
Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.