mtu

  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani. Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni AI au ni mtu halisi nimekua na mashaka sana, anaitwa africanafai Instagram halllooooo chombo mzeer

    Ni mwanamziki, inasemekana ni mkenya picha zake zinanichanganya sana, aseee chombo kweli mtoto Yuko stand, mpaka naogopa nahisi ni AI
  4. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

    Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
  5. JamiiForums Tanzania Masikio yangu yanaumia sana nikimsikia mtu anasema, "binafsi yangu" 😸😹

    Hivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini? Binafsi + yangu= ?
  6. JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  8. JamiiForums Tanzania Mtu sahihi wa kufanya naye kazi

    Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio...
  9. JamiiForums Tanzania Vipofu wakilala huota ndoto kama ilivyo kwa mtu anayeona? Umewahi kujiuliza huwa inakuwaje?

    Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi. Ndoto ni nini? Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa amelala. Ndoto nyingi hutokea katika hatua ya usingizi inayoitwa REM (Rapid Eye Movement), ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

    Yaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁 Ngoja niwahi nyumbani aissee
  11. JamiiForums Tanzania Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

    Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe. Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia. Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Mtu yako katika Uhaminifu

    Leo nilipata nilipata nafasi ya kutafakari habari kutoka Njombe kutoka katika mitandao ya kijamii Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ujumbe ambao alikuwa anatoa alilielezea kisa cha kijana mmoja ambaye alipewa kazi ya kukusanya maparachichi kutoka kqa wakulima na mfanyabiashara wakiasia...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Ndugu zangu Watanzania, Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta Dola ikichezewa na mtu Akachekewa tu na kuachwa aendelee kuyumbisha Dola na Usalama wa Taifa. Hata...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alipambana kumkomboa mtu mweusi zaidi ya Nyerere?

    Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere? Hospitali ya Nyerere Angola.
  16. JamiiForums Tanzania Mtu anisaidie nipate hizi office frame holder

    Nani anafahamu hizi zinapatikana wapi kwa matumizi ya ofisi,mimi niko Arusha.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

    Kwa nini mimi sioti ndoto? Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ? Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto? Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya kuzungumza na Mwanadamu Ayub 33:14_15 Kwa hiyo kama ndoto ni njia ambayo Mungu au miungu...
  18. JamiiForums Tanzania Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

    Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea. Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  20. JamiiForums Tanzania Mzalendo ni mtu gani na uzalendo ni nini?(Patriotic vs Patriotism)

    Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…