mtu

  1. U

    JamiiForums Tanzania MTU mfupi kwenye gari anabidi kuendesha na sio kuendesha.

    MTU mfupi kwenye gari ni vyema akaendeshwa.
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha red meat kwa miezi 6, nimejikuta nimekuwa mtu mwenye utu na huruma zaidi

    Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia. Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26

    Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

  5. M

    JamiiForums Tanzania Tiba au Ushauri kwa Mtu Mwenye Makovu Yanayowasha, Kuuma na Kuwaka Moto Baada ya Jeraha

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi. Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika maeneo ya shingo, mgongoni na kifua (kama inavyoonekana kwenye picha), ambayo yanamletea maumivu...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki

    Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Masikini anatamani kila mtu awe masikini

    Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli. Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia. Ila huu ukamataji 🙌🙌
  8. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanasheria Tuu, Mtu Akihitajika Mahakamani Kutoa Ushahidi, Anaweza Kukataa?

    Wanasheria na Mawakili Wasomi Mtusaidie sisi mbumbumbu wa Sheria. 1.Mtu Akihitajika mahakamani kutoa ushahidi je, analazimika kwenda? Na akigoma kwenda kuna kosa.? Au akitoa sababu labda ni mgonjwa au sababu nyingine yoyote, kesi itasimama kumsubiri au itaendelea? 2. Na je huyo mtu akiwa ni...
  9. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye mahusiano na mtu maarufu Ni stress kwa kweli

    Ni stress kwa kweli... late night calls maana ndo katoka kwenye mambo yao A lot of Dm za mabinti duhh am going to ruin this tooo... Siwezi kwa kweli how unaweza dili na mtu wa namna hii
  10. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Ninahitaji Hilo kama upo nichel 0747464239
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa ? Nini huwa ni sababu kuu ya mtu kutapeliwa kirahisi?

    Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ? Mifano ya utapeli ni pamoja, Unaambiwa utume pesa upate kazi na unatuma kweli, kazi hupati Unamtumia nauli demu aje na haji na wakati mwingine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania {Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

    Wakati watu wakipiga kelele kuhusu adhabu ya viboko shuleni mtu anaamua kukata fimbo anamcharaza mke wake, kwanini lakini. Hii sawa, nimekwazika sana
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Amjibu Heche "Uongozi wa nchi sio uji kwamba kila mtu anataka apewa kuonja"

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi unahitaji mipango na kura za wananchi badala ya maombi ya ‘kupewa’ nchi ili kuijaribu. Akizungumza leo...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tangu arudi kukalia kiti , amekuwa mshauri sana

    Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake. Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Mtu anaamua kuanzisha vikosi vyake, kutukana watu ila anaachwa tu

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa. Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  17. Koloko

    JamiiForums Tanzania Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

    Habari zenu wakuu.. Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
  18. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana ana uzeofu na utomation ya trading strategy yake forex?

    Habari wanajamii forum, Naomba experience kwa wadau wa forex. Nimekuwa niki trade pullbacks strategy kwa muda hasa baada ya kusoma kitabu cha Al brook nikasema acha ni focus na hii, Win rate kila niki analyse per day ni 80% hadi 90% but shida moja tu discipline, Unaanza week na discipline...
  19. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

    Kuna watu humu wanaroho nyepesi sana. Yaani hawana emotional maturity kabisa Yaani nimeanzisha uzi unakuja na maneno machafu, then na kujibu kiustaarabu alafu una report kwa modz eti umetukanwa? Aisee mnachekesha sana. Anyways.. Najua mimi ni platinum maana hakuna kiumbe mwingine hapa wa...
  20. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

    Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo. Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia. Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu...
Back
Top Bottom