Hamjambo!
Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako.
Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu.
Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo.
My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu.
Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu.
Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama.
Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂
Cc.
Mafwele
Muliro
Mkunda
Kuna jamaa yangu kamtumia Mtu 700,000 badala ya 70,000. Jamaa alifanya naye biashara ni chinga. Tunduma. Sasa jamaa amegundua siku 2 baadae. Akamcheck chinga akagoma, wakakubaliana waonane amuonyeshe Muamala. Akazima simu.
So, anawezaje mtrace? Maana hata namba amesajilia ya mtu mwingine.
Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika
Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI!
Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya.
Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
bajaji
basi
bidhaa
bodaboda
kero
kero usafiri wa umma
kero za usafiri
kutangaza
mabasi
mabasi ya mikoani
mahubiri
mbeya kuja dar
mikoani
mtu
ndege
sana
starehe
treni
usafiri
usafiri wa mabasi
usafiri wa umma
zao
Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu.
Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma.
Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
adobe
bomu
bure
duka
gani
google
google pixel
hata
iphone
kiwango
kufungua
kutengeneza
makampuni
makampuni ya simu
mbadala
mmoja
mtumtu mmoja
n.k
nuclear
photoshop
pixel
premiere
pro
simu
software
wameshindwa
Ili apate cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu
Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia
Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza
Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo
Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba
Askari anataka...
Nchi yetu barabara kuu km za
1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001)
2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002)
3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane.
Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli;
1. Uwanja wa ndege wa...
Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa...
Binadamu sisi tuna namna tofauti za kujenga utambulisho. Kila mmoja wetu ana eneo analojivunia nalo, linalomfanya ajisikie fahari hata kama hasemi wazi wazi.
Mwingine ni kuonekana mtu wa familia.
Mwingine kuonekana kasoma sana.
Mwingine kuonekana ana hekima.
Mwingine kuonekana ana maadili...
Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa
1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao.
2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa.
3. Kuteua...
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
Kwanza kabisa nipende kujitambulisha,
You can call me King of hearts ♥️
Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia)
Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai
Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.