WanaJf:
Hivi Kweli mtu unayepingana nae Kwa maneno na matendo awe anakusifia hadharani Kwamba Wewe ndiye mkomavu wa Siasa hasa!
Mbaya zaidi,huonekani kujali wenzio waliokupigania ukiwa mahabusu,unaibukia kwenye uzinduzi wa Bwawa la umeme!Kwani usingeenda, lisingezinduliwa?
Inaudhi na inakera!
Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma.
Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama.
Afrika sio mahala salama pa kuishi.
Wanabodi
Kwanza samahani kwa udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!,kiukweli ni ujinga,https://www.jamiiforums.com/threads/shurti-la-kudhaminiwa-na-chama-kugombea-uchaguzi-ni-shurti-batili-kwa-mujibu-wa-katiba-linatutia-hasara-tulifute.1388948/
Tena ujinga...
Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika".
Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti...
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.
Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa
mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
ardhi
baada
ila
kutokana
labda
lawyer
mdada
msibani
mtumtu mwingine
mwingine
ndoa
nyumba
pamoja
sababu
share
wao
wapo
watoto
watoto wawili
wawili
wengi
Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo
Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia.
Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums,
Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi.
Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika maeneo ya shingo, mgongoni na kifua (kama inavyoonekana kwenye picha), ambayo yanamletea maumivu...
Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.
Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.
Ila huu ukamataji 🙌🙌
Wanasheria na Mawakili Wasomi
Mtusaidie sisi mbumbumbu wa Sheria.
1.Mtu Akihitajika mahakamani kutoa ushahidi je, analazimika kwenda?
Na akigoma kwenda kuna kosa.?
Au akitoa sababu labda ni mgonjwa au sababu nyingine yoyote, kesi itasimama kumsubiri au itaendelea?
2. Na je huyo mtu akiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.