Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.
Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?
---
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu...
====
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake.
Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
Mzuka!
Siku zote kikulacho ki nguoni mwako.
Inasadikika aliyevujisha siri alipo gaidi boss wa ISIS Abubakar Al Baghdad alikuwa mtu wake wa karibu.
Jamaa huyo ambaye ni mwarabu wa sunni huenda alichukua uamuzi huo kumsaliti Al Baghdad baada ya familia/ ndugu zake kuuawa na ISIS.
Kabla...
Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi.
Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli...
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.
Swali langu ni je,route hiyo imekufa?
Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya...
Ameandika Zitto kupita twitter:
Russian leader boasts he has signed military agreements with 30 African countries this week - accompanied by deals for military helicopters, fighter jets and armoured vehicles
Tweet ya Millard Ayo nayo inasema hivi:
“Ndege nyingine nne zitaendelea kuja nchini...
Kocha wa Yanga sc amesema moja kati ya vitu ambavyo wachezaji wamekosa ni malengo..
.
“ Inatakiwa toka mwanzo wa msimu mchezaji aweke malengo kwamba mimi kama kiungo lazima nitoe pasi za mwisho zaidi ya kumi na kufunga magoli zaidi ya kumi ktk msimu.
Lakini ukiangalia wengi wanavyocheza ni kama...
Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.