mtu

  1. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtu Kabla ha Kumwamini ( Snake ni wengi)

    Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu. Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana. Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A) Basi ukiwa upo Kwenye...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Anahitaji mtu wa masoko na mauzo

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa kushawishi wateja wapya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  4. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu alishafanya x rays zaidi ya tatu? Chest na skull?

    Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu? HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
  5. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro vinauzwa milioni 1.3

    Abcd
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

    Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi. Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana. Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupendwa na demu kama mimi?

    Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula. Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona ukatili mtandaoni, usikae kimya na Usishiriki. Tunaweza kubadilisha mtandao uwe salama kwa kila mtu

    Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  11. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  12. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mtu mwenye tabia za Wizi Wizi?

    Wakuu, Kuna mtu tunaishi ila ana tabia za wizi wizi. Yaani kiufupi huyu mtu yeye bila kuiba asubuhi, mchana au usiku hajisikii kabisa furaha. Yeye kitu pekee kinachompa furaha ni kuiba na kuona kuna mtu anatafuta kitu alichoibiwa ndio anakua na furaha na yeye yupo hapo hapo. Sasa mtu km...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara au kazi gani inayoweza kumpa mtu kuanzia milioni 50 kwa mwaka?

    Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze. Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie. Nini aepuke ili asijekupotea...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mavazi yanahusikaje na utendaji kazi wa mtu?

    Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha kwanza ulivyovaa tu? Wewe unaambiwa sasa hivi unaenda ofisini huwezi kuingia na jeans, huyu umeona...
  16. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

    Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba. Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Magonjwa mengi ambayo mtu akisema atanyanyaswa yanaongeza kuwafilisi watu

    Kuna magonjwa ambayo watu wengi huyaficha kwa sababu ya aibu, unyanyapaa (stigma), au utamaduni, lakini wanatumia pesa nyingi kuyatibu kwa siri: Magonjwa ya zinaa (STIs) na uzazi: Kaswende (syphilis), Kisonono (gonorrhea), Klamidia – watu wengi hawapendi kujulikana wanaumwa HIV/UKIMWI – bado...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mzima akilala hawezi kuanguka kitandani anapojigeuza

    Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!! Jibu hili hapa!! Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
  20. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

    [Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake [Luk4:6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari...
Back
Top Bottom