Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka.
Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha.
Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba...
Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi
Nawala anayechukia achukie
Katika dunia tunayoishi leo, si rahisi kupata msaada wa kweli wa kihisia kutoka kwa watu
Mara nyingi mtu anapokuwa na changamoto hutamani kuonewa huruma kuambiwa maneno ya faraja, kushikwa mkono, kusaidiwa kifedha au hata kusaidiwa kwa vitendo
Kwa kawaida, msaada huo unaweza kuupata kutoka...
Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari ameshajimaliza huko kwa Boda wake. Usikubali mwanamke akudrive broo. Wee ichape muda wowote na...
Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu, vifo kwa viongozi na wananchi, pamoja na mpango wa kushambulia askari ili kupora silaha kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi.
Katika taarifa rasmi kwa...
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na...
Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata...
VIDEO:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu utawala wa kisheria na mamlaka ya serikali nchini Tanzania huku akitoa onyo kwa wale wanaofikiri kuwa wanaweza kuwa juu ya sheria.Akizungumza na waendesha bodaboda, bajaji, na machinga mkoani Dar es...
Habari wakubwa
Napenda niulize swali sio kwa ubaya tu na nipewe majibu mazuri na sababu za kumtaja huyo mtu.
Je kwa sasa ni nani ndani ya CCM ambaye watu wanampenda na kumwamini na akisimama kwenye jukwaa anaweza kuwajaza watu wakakaa na wakamsikiliza ?
Isiwe huyu mtu amewalipa au...
Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi!
Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao.
Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu!
Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani.
Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa Tanzani mpaka sasa ni zaidi ya Laki tano 500,000 lakini mawakili ni 14,000 tu Tangu waanze kusajiliwa...
This is one of the most secretful things nimekaa nayo for years, na sijui kama kuna mtu atanielewa humu..
Nianze kwa kuuliza je, kuna mtu alishawahi kuwa connected to someone katika namna isiyo ya kawaida?
Yaani unakuwa unahisi like huyu mtu ni kama kuna cord flani invisible na instinctually...
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali...
Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa nilizopata kutoka kwa wengine, naomba mamlaka husika zifuatilie suala hili kwa haraka ili kuwalinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.