Hamjambo!
Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu;
1) Mfalme/Rais.
Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja.
Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo
Au ana poor cognitive ability.
Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability...
Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali.
Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika, kupunguza mawazo, na kupata kampani. Hata kama huna marafiki wa karibu, ni vigumu kujisikia mpweke ukiwa...
Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa.
Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
amani
amani ya nchi
bila
chadema
chama
from
health
hii
kimbilio
kuanza
kuhujumu
mabeberu
maisha
mental
mental health
mmoja
mtumtu mmoja
nchi
sovereignty
taifa
taifa letu
waasisi
wamefanya
wao
where
Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe.
Zawadi uliyokuja nayo ni...
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele.
Kazi hii ina...
You have to deal with the real issue within the stomach, not kushona makalio.
Huwezi kutuzuia kwenda Kakamega kufanya mkutano kwa kuweka GSU, you have deal with the real issue in the stomach, not stitching the anus! Stool Itapenya tu!
Kuna changamoto kubwa Sana kwa mtu mzima kuumia au kuteswa na mpenzi, labda alichelewa kuanza mahusiano au changamoto za Kimaisha au kiafya, mimi binafsi kutokana na kujihusisha na mapenzj mapema, nimepitia mishale mingi Sana kiasi ambacho kwa Sasa haiwezekani tena kuumizwa na mpenzi, nishawahi...
Nimeona jamaa anatuandikia nyuzi ndefu lakini ukiangalia hamna point hata moja nilitegemea nyuzi zake ziwe zinatoa suluhisho kwa kijana na mtu yoyote anayetaka kufanikiwa
Niliitegemea awaambie hivi.
1.Mtumishi wa serikali/Private usiache kazi ila fanya saving ili baadaye ufungue duka, miamala...
Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini.
Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu.
Jambo...
Ipo hivi...
Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu lakini nikigeuka nyuma alikuwa bado ananiangalia basi mimi nikaachananae tu nikaendelea na mishe zangu...
Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV.
Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
“Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?”
Huyu ni kijana anaomba...
Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa
Moja kwa moja kwenye mada hapo juu
Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu?
Naomba kuwasilisha wakuu
Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Dunia ya sasa yenye vita ya uchumi kila kona Ukiwa mpole sana, mstaarabu, huna ugomvi na watu, unaongea kwa sauti ya chini kama padre watu watakupenda sana. Kila mtu atasema huyu jamaa ana roho nzuri hanaga shida na mtu, ana maadili
Lakini sasa ukifika muda wa michongo ndiyo utaanza kuona...
Wengine wanataka tu mtu wa kumsikiliza ajihisi nafuu. We kukimbilia kumshauri ni kama unadogosha tatizo lake. Unakuwa kama unamuona hana akili anahangaika na katatizo kadogo ambako wewe unaweza kusolve ndani ya dk chache tu.
Mtu akikueleza tatizo au changamoto anayopitia kwanza acknowledge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.