mtu

  1. JamiiForums Tanzania Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Samia anaamini wazanzibar waliungana kumpigia kura, ila haamini watanganyika waliungana kuandamana(kumkataa) bila kulipwa na mtu

    Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote. Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari wako!? Watanganyika wao ni wakurubuniwa kufanya chochote
  4. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye maisha silalamiki wala kulialia na mtu tena nitatatua matatizo yangu mwenyewe

    Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe. Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
  5. JamiiForums Tanzania Usimlazimishe mtu akuelewe

    Usimlazimishe mtu akuelewe. Watu sahihi wataona nia yako bila kulazimika kujieleza mara elfu. Sio kila mtu atatafsiri moyo wako kwa usahihi, na si kila mtu anahitaji kupata maelezo ya kila unachofanya. Acha matendo yako yazungumze. Linda amani yako, na usipoteze nguvu ukijaribu kujithibitisha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa. Natanguliza shukrani
  8. JamiiForums Tanzania Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Wakuu, Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa nataka kusoma Badala ya kunipa support akainama akaniuliza "Kwa jinsi internet inavyoshika kasi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je mtu anaweza kumeza ulimi wake?

    Kwa kipindi kirefu inaaminika kuwa mtu akipwata na kifafa/degedege anaweza akameza ulimi hivyo hutumia kijiko,kijiti au kumuweka kiganja cha mkono mdomoni kama njia ya kumsaidia. je kunauwezekano wa mtu kumeza ulimi?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano 1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa cha Dola 10 Zilizotupwa Mtoni jasho la mtu haliliwi

    Salamu sio lazima twende moja kwa moja kwenye kisa Cha kweli chenye hekima kubwa👇 Zamani kidogo, kulikuwa na mzee mmoja tajiri na mchapa kazi aliyekuwa anamiliki mali na biashara nyingi. Alikuwa na mtoto mmoja wa kiume aliyekuwa mvivu sana, asiyetaka kufanya kazi yoyote na aliyekuwa anasubiri tu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Mabaya haya yana faida gani?

    Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
  16. JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya mtu muda wake mwingi anakuwa TOXIC sana kwa watu?

    Kuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka Mioyo yao imekunjamana Macho yao yamejaa moto Vidole vyao vya ku-type vina upanga Kauli zao ni za kukatisha tamaa Lugha yao ni matusi. Nini ni sababu ya haya yote ambapo unakuta mtu robo tatu ya siku yake anachagua kuwa hivi utafikiri ametumwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Penzi ni pepo ya siri, hapewi mtu mbinguni

    Alikuwa akiamini kuwa mapenzi ya dhati ni kama pepo ndogo ya siri tunayoijenga hapa duniani, zawadi adhimu tunayopeana faragha na ambayo haitapatikana mbinguni. Alimwamini mpenzi wake na kumkabidhi funguo zote za roho yake, akiamini kabisa kuwa kifua chake ndicho kilikuwa bandari salama ya...
  19. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani. Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…