Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi?
Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi..
Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu.
Lakini Unateka...
Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana.
Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia.
Sasa...
Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu.
Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
Anonymous
Thread
cheti
cheti cha kuzaliwa
huduma
kuomba
kuweka
kuzaliwa
maana
mtandao
mtu
njia
rita
taarifa
Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan kuongezeka kwa pato la mtu mmoja mmoja.
Akizungumza Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Februari 2...
Bora Makonda maana anajulikana kichwani kabeba mavi! Sasa huyu na ma-PhD yake hapo anaongea uharo gani
https://x.com/PMadeleka/status/2017884573984592042
Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi.
Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza.
Yaani haupaswi kumchukia mtu.
Nyie...
Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA,
MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini?
Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini.
Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi.
Na wajinga wakaamini na kusubiri...
Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel
ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi
Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu
Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa
Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu
29...
Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka
kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.