mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni sawa mtu kujitapa hadharani vitu alivyonavyo ambavyo wegine hawana ni kwa sababu yeye kabarikiwa ?

    Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  3. Jane Msowoya

    JamiiForums Tanzania Biashara sio kwa ajili ya Kila mtu

    Biashara Zina mambo mengi sana hasa ukiwa unafanya biashara za ku build legacy, Kuanzia Team to suppliers to distributors yaani ni kulala macho tu mpaka mambo yaende Nashauri kama wewe ni wale watu soft skin usiingie kwenye biashara baki huko huko kwenye ajira au fungua zako pub weka pisi za...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi hii tajiri, mtu asikutie mashaka, mambo yote yatakwenda

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu...
  5. Insidious

    JamiiForums Tanzania Kipi cha kuzingatia wakati wa kununua gari kwa mtu

    Kwema wanajukwaa? Je ni kipi cha kuzingatia pindi unapotaka kununua gari kwa mtu? Kiufundi na masualabya kufanya muamala baina ya muuzaji na mnunuaji.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔

    Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu watanzania siyo rangi ya mtu, bali uduni wa fikra

    Kuna rafiki yangu analalamika kuwa uchumi wa nchi yetu umemilikiwa na watu ambao kwa mtazamo wake anadai siyo watanzania. Anadai miradi yote mikubwa kwa sasa nchini inafanywa ama kumilikiwa na Waarabu, wahindi, wazungu na hivi karibuni na wachina na wale weusi wachache wanaoonekana ama ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huwa najizuia kucheka napoona mtu mwenye gari ya miaka zaidi ya 10 anaguswa na habari za disconituation ya utengenezaji wa baadhi ya magari

    Production Discontinued mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂. Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Chadema ishakua shamba la bibi, kila mtu anachangisha

  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Upishi na ushonaji bado ni fani zinazoweza kumfanya mtu asilale njaa

    Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari. Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata taabu sana kwenye suala la vyakula. Kwa mfano Zambia ni jipu. Huko Zambia wanajua ugali tu. Vitu kama...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

    Life is a bxxch and then you die.
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu. lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake...
  17. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Sangu: Mtu anaajiriwa leo anataka kuwa milionea, anaanza kuwaona wengine sio wajanja

    Serikali imesema itachukua hatua stahiki za kuwawajibisha Watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi na kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo ipasavyo pamoja na viongozi wanaodhalilisha Watumishi wa Umma hasa kwenye ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo Hayo yamesemwa jana Januari 15...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mtu wa ajabu sana

    Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe. Sio Tanzania, China au hata Japan
  19. astalavista

    JamiiForums Tanzania Weka ujumbe wa kibiashara kwa njia ya sauti, mtu akikupigia

    Mtanzania, Karibu kwenye huduma ya Ring back Tunes, huduma ya ujumbe wa sauti kwenye simu yako wakati mtu anakupigia. RBT inaweza kutumika na mtu yoyote, mathalani Wafanyabiashara/Kampuni/Taasisi na wengineo. Kupitia RBT mfanyabiashara anaweza kutengeneza tangazo lake na kufanya mbadala wa...
  20. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka umtukane mtu "pumbavu" kwa upole na asikasirike unamwambiaje?

    Wakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
Back
Top Bottom