Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea nje ya nchi).
Sasa nakumbuka siku hii Mimi nilikuwa nimetumwanatokea benki ya Nmb tawi la Bunge...
Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Paperless ngx, Media automation kama vile SONAAR kwenye NAS SERVER.
0715 240140
Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
A: JIBU LA KILOGIC (MANTIKI)
Je, Mungu anaweza kuwa mtu?
Ndiyo au Hapana hutegemea ufafanuzi wa “Mungu”.
Ikiwa Mungu ni:
1. Asiyekuwa na mwanzo wala mwisho
2. Asiyepungukiwa na chochote
3. Asiyefungwa na muda, nafasi, njaa, usingizi, maumivu, au kifo
Basi kwa logic safi:
Mungu hawezi kuwa...
Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.”
Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja.
Lakini leo hali imebadilika...
Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?
Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
Trump na Vice presdent wa USA wanasema hivi viongozi karibu wote wa duniani wanatamani kumpigia Simu Trump. Wengi wao wakipigiwa simu na Trump wanapokea hata Kim Jong Un wa North Korea, lakini Trump amejaribu kumpigia simu Ayatollah Ali Khomen, na hataki hata kumsikia Trump.
Hatuna bidi...
Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga...
Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa.
Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana.
Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Huu ni uwendawazimu kabisa.
Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU.
Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli.
Alimleta mdogo wake wa kike huku na alipofika nikaona yupo yupo tu niliamua mtafutia sehemu angalau awe anajifunza ufundi wa...
Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka...
Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza.
Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi.
Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais.
Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.