mtu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi na Mungu wa Mbinguni upendekeze mtu wa kunyakuliwa MAWINGUNI utampendekeza nani?

    Ni swali la kawaida. Avoid negative interpretation!!! 1.
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

    Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri. Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini. Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule...
  5. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Mungu anampa kila mtu kwa namna yake

    MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE. Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu. Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu. Kama ilivyoelezwa katika Biblia 1...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yaani ukifungua Fb kila mtu daktari wa mashine zilizolegea na kuwahi kumaliza, hamna kazi? Wengine tapeli watupu

    Mbona mmeanza kutuogopesha wajamene Yaan kila ukifingua fb unakutana na sijui unatatizo la kuwahi kutandani Una tatixo la mashine kulegeaaaa Wengine vidada nahisi kama vina tumia majina ya kike kytapeli na pengine n wanaume Yaan leoo wamejazana na madaa mpya U a.Kibamiaa piga namba xyz...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa sana na mke wa mtu alienidhamiria bila kuchoka, nawezaje kumfanya ajue haitawezekana bila kuvunja urafiki wetu?

    Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

    Mkono mtupu haulambwi wakuu Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne. Location Dar es salaam Kazi yoyote. Elimu: shahada. Ahsante
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  11. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuhifadhi?

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye? Natanguliza shukrani
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mtu wa kazi

    Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha kupanga Binti anayehitajika anatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 24, asiwe mcharuko, awe na...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sio kila mtu anaweza UTAFUTAJI na sio kila mtu anaweza UENDESHAJI

    Kuna mtu anakuwa na hurka ya kuchakalika kutafuta kwa namna yoyote na kwa mahali popote. Unakuta anaijua science kuzifukuzia fursa na kuzivumbua nyingine ila ikija sasa katika usimamizi wa kile alichopata, anatetereka. Kuna mtu yeye usimamizi na menejimenti ya mali, funds na resources ndio...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

    SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa. 2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  17. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Watu pori - Nafsi ya mtu

    NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Verse ..1 ( mc koba) Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela, mtamtesa lakini kamwe hatopigia mtu magoti na mwisho wa siku atashinda kesi na kuwa maarufu zaidi

    Ukweli ndio huo labda mummalize maana nyinyi hamna aibu wala utu au mumfunge kwa hila kama alivyofungwa Mandela
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

    "Tatizo wanadamu wa siku hizi ni wabishi sana" by smart 911
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kila dikteta huwa na mtu wake anaetekeleza mipango ya kimafia

    Hakuna jipya chini ya jua. Tangu enzi na enzi, kila dikteta lazma awe na mtu wa kutekeleza mipango ya kimafia au unyama. Mara nyingi watu hawa huwa hawawajibishwi na mamlaka zozote za kiserikali bali tu kwa wale wanaowatuma. Idd Amin alikuwa na Brigedia Jenerali Isaac Malyamungu. Huyu alikuwa...
Back
Top Bottom