marekani

  1. JamiiForums Tanzania Maelezo kwa undani jinsi mifumo ya Marekani ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu inavyofanya kazi

    Marekani hutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (layered missile defense system). Mfumo huu haufanyi kazi kwa kutegemea kifaa kimoja tu, bali ni mtandao wa satelaiti, rada, kompyuta, na makombora ya kujihami unaofanya kazi kwa pamoja. Hatua zake kuu ni hizi: Ugunduzi wa mapema (Early Warning)...
  2. JamiiForums Tanzania Iran sasa hivi anapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Marekani!!

    Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!! Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!! Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

    Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha. Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Marekani wametusaidia Bil 2.6 baada ya Serikali yetu kuilipa kampuni ya Kimarekani ya lobbying Bil 8. Hii ni sawa?

    ..kichwa cha habari kinahusika. ..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6? ..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani? ..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao. ..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani Yamnyanyasa Mwandishi wa Habari Raia wa USA Aliyekuwa anaripoti Habari za Matukio ya Vita Iran

    My Take Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wanapingana na Marekani Super Power: Wanataka Usawa au Nao Wanataka Kuwa Juu Kama Marekani?

    Kwa muda mrefu Marekani imekuwa ikiongoza dunia kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, nchi kama China na Urusi zimekuwa zikiongeza ushawishi wao na kupinga baadhi ya sera za Marekani. Swali, Je, wanachotafuta ni dunia yenye usawa...
  8. JamiiForums Tanzania Mtake msitake Kuanzia sasa Marekani ni Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz!!

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba Marekani inarejesha kizuizi chake cha majini dhidi ya Iran, akitangaza kwamba Marekani sasa itajulikana kama "Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz." Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.
  9. B

    JamiiForums Tanzania DHS Idara ya uhamiaji Marekani yaweka hadharani majina ya watu wanaotarajiwa kuondolewa nchini Marekani

    Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) imetaja pia raia kadhaa wa Kenya, Tanzania na Uganda ambao wanakabiliwa na hatua ya kuondolewa nchini Marekani. Orodha kamili pamoja na picha za waliokamatwa zinapatikana kwenye tovuti ya DHS. Kwa nini Marekani huwafukuza raia wa kigeni? Marekani...
  10. JamiiForums Tanzania Iran wanaonea Bahrain na Kuwait, mbona hawagusi Kambi ya Marekani iliyopo Israel? Wanawaogopa Israel?

    Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel?? Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu kuu moja iliyonifanya nisitake kuishi Marekani

    Habari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe. Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana. Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu. Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

  13. JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  14. JamiiForums Tanzania IRGC Iran; yajibu mashambulizi yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. πŸ”Ή Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaingia Mkataba wa Shilingi Bilioni 8 na Kampuni ya Ushawishi ya Marekani katika 'kulinda taswira ya nchi'

    Wakuu, Katika ulimwengu wa siasa na diplomasia za kimataifa, taswira ni kila kitu. Lakini taswira hiyo inagharimu kiasi gani, na ni nani anayelipa ankara hiyo? Uchunguzi wa kina umebaini mkataba wa kushtusha wa Dola za Marekani milioni 3 (takriban Shilingi bilioni 7.8 za Kitanzania)...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda Kombe la Dunia 2026 likabaki Marekani

    Wana timu nzuri mno, haizungumzwi wala kufuatiliwa sana, lakini ina uwezo na uwezekano mkubwa sana wa kutwaa kombe hilo la dunia katika mpira wa miguu duniani. Ni wazi Rais Donald J. Trump atapendelea zaidi kukabidhi kombe hilo la dunia kwa timu ya mpira wa miguu ya taifa lake na si vinginevyo...
  18. JamiiForums Tanzania Tamko la Uhuru wa Marekani

    IN CONGRESS, July 4, 1776. The unanimous Declaration of the thirteen united States of America, When in the Course of human events, it becomes necessary for one people to dissolve the political bands which have connected them with another, and to assume among the powers of the earth, the...
  19. JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda Mara mbili Moja ni awali kabla sijampata mnyarwanda Na ya pili nilimpeleka mnyarwanda aka pate kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

    Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili. Makubaliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…