marekani

  1. L

    Marekani walimchagua Urais Obama ambaye Baba yake ni Mkenya. Halafu Mtanzania anakaa kujadili ujinga wa asili ya Mama wa Makamu wa Rais wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Watu wanaojiita Wanaharakati wana ujinga Mwingi sana ,wana utoto sana , wana umbumbumbu mkubwa sana vichwani Mwao. Wivu ,chuki binafsi na ubaguzi vinawatesa sana baadhi ya watu waliojipachika majina ya Uanaharakati ili wapate kuganga njaa zao. Yaani eti mtu anakaa...
  2. Z

    Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  3. Mohamed Said

    Korea Kaskazini na Israel Vita ya Iran na Marekani

    https://youtu.be/wu3ckYK_5Lo?si=A_gsYUQXj2EmpFdT
  4. L

    Ndege ya kijeshi ya Marekani ikiwa na Mkuu wa CIA yatua Moscow

    Ndege ya Jeshi la Marekani ikiwa na ujumbe mzito ukiongozwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA yatua Moscow Urusi. Kwa mujibu wa taarifa za shirika la BBC na CBS, John Ratcliffe ambaye ni Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA),, amesafiri hadi Moscow kwa mazungumzo ambayo...
  5. instinct desire

    Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  6. R

    Marekani: Jaji atengua sera ya Trump ya kuzuia visa nchi 75 ikiwemo Tanzania

    Jaji Jeannette Vargas wa Mahakama ya Wilaya ya Kusini mwa New York ametengua sera ya utawala wa Trump iliyosimamisha utoaji wa visa za wahamiaji kwa nchi 75, zikiwemo nchi 26 za Afrika. Jeannette amesema sera hiyo ilikuwa “kinyume cha sheria waziwazi” na kwamba ilivuka mamlaka ya Waziri wa Mambo...
  7. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  8. MakinikiA

    WAAJEMI WAMEFANYA ASKARI WA MAREKANI KUWEUKA NA KUKENGEUKA

    The deployment has reportedly been plagued by supply and maintenance issues, including shortages of food and basic supplies, a lack of hot and potable water, and plumbing problems. Crew members’ families have raised alarm over what they described as collapsing morale, burnout, and mental health...
  9. Yoda

    Kesi ya Serikali na Lissu ni kama vita vya Marekani na Iran

    Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli. Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
  10. L

    Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  11. Echolima1

    Raia fake wa Marekani wajazana huko Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi)!!!!

    Uchunguzi mpya uliofanywa na harakati ya Regavim unaelezea jinsi mkusanyiko mkubwa usio wa kawaida wa raia wa Marekani katika kijiji cha Kiarabu cha Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) umekuwa utaratibu wa kusababisha shinikizo la kisiasa na kidiplomasia kwa Israeli. Takriban...
  12. Jannatul Firdaus

    Mazoezi ya kijeshi ya marekani na korea kusini yapunguzwa kwa siku sita

    Uchaguzi wa kijeshi wa kila mwaka wa Korea Kusini na Marekani umepunguzwa kwa siku sita kwa ombi la Washington, Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza. Seoul imesema kuwa “muda na ukubwa” wa zoezi la kijeshi la Ulchi Freedom Shield 2026 umebadilishwa kufuatia “pendekezo kutoka upande wa...
  13. L

    Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  14. Jannatul Firdaus

    Trump aagiza kupunguzwa kwa Mazoezi ya Kijeshi ya Marekani na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake na Kim Jong Un

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani itapunguza kwa kiasi kikubwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake mzuri sana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un. Trump pia alisema kwenye mtandao wake wa Truth Social kwamba Korea Kusini hivi karibuni...
  15. C-C Digital Pro

    Gazeti jipya "CELEBRITY" laipindua jarida la "FOX" Marekani.

    Gazeti hili huandaliwa na C-C Digital Pro na kuhaririwa na Civilian-Coin. Hutoka Kila baada ya siku Moja.
  16. X

    Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  17. Echolima1

    Kamanda wa CENTCOM wa Marekani Adm. Brad Cooper akiwa na Benjamin Netanyahu

    Kamanda wa CENTCOM wa Marekani Adm. Brad Cooper anasukuma mashambulizi mapya kati ya Marekani na Israeli dhidi ya Iran, ikiwa ni pamoja na miundombinu ya mafuta, gesi, na umeme. Aliwaambia maafisa wakuu wa IDF kwamba mashambulizi kama hayo yanaweza kuilazimisha Iran kubadilisha msimamo wake.
  18. M

    Trump anatishia nyau kutangaza eneo la Hormuz kuwa 'eneo la Marekani'

    Aisee Hili zee pumbavu limeshachanganyikiwa Kilichobaki ni kubwabwaja na kulialia kama toto dogo Donald Trump ametishia kutangaza mlangobahari wa Hormuz kama "eneo la Marekani" huku utawala wake ukipambana kumaliza vita na Iran. Wakati wa hotuba katika chuo cha polisi huko Long Island, New...
  19. R

    Trump apiga ban wanaokwenda kujifungulia Marekani ili kupata uraia

    Utawala wa Trump umeunda kikosi kazi cha kimataifa kinacholenga kupambana na biashara ya kinachoitwa "utalii wa uzazi" (birth tourism), kikilenga watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya visa za Marekani kusafiri nchini humo kwa ajili ya kujifungua. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza...
  20. Yoyo Zhou

    Vikwazo dhidi ya teknolojia ya AI ya China vyapingwa na mashirika ya Marekani

    Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni walidai kuwekea vikwazo dhidi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) ya China, lakini wamekumbana na upinzani mkali kwanza kutoka kwa makampuni mapya karibu 200 ya Silicon Valley nchini humo, yakishirikiana na makampuni makubwa yakiwemo Meta, Nvidia, na...
Back
Top Bottom