marekani

  1. X

    Marekani yaogopa kasi ya China kwenye AI, yaomba kasi ya AI ipunguzwe. China imekataa!

    Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI. Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua. Jibu la China...
  2. Mhaya

    Ufaransa Yapunguza Utegemezi wa Teknolojia Zinazodhibitiwa na Marekani

    Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Ufaransa wa kulinda “uhuru wake wa kidijitali”, yaani kuhakikisha taarifa muhimu za nchi na mifumo...
  3. Echolima1

    Saddam Hussein alijaribu kupambana na Marekani akaangukia pua Je, Iran ataweza kuishinda Marekani?

    Saddam Alijua Hangeweza Kuishinda Amerika. Je, Iran Inajaribu Kushinda Vita Vile Vile? Kuna njia ya ajabu ya kushinda vita dhidi ya nchi ambayo huwezi kuishinda. Acha kufafanua ushindi kama kuishinda. Zaidi ya miaka 35 iliyopita, Saddam Hussein aliingia katika mapambano na Marekani ikikabiliwa...
  4. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Marekani haioni Mlango Wala Dirisha Wazi la Kutokea

    https://youtu.be/0nyVlmNq4qc?si=NVQUZVWeEMJOV9z1
  5. Echolima1

    Baada ya Meli za Mafuta za Iran kushambuliwa na Marekani Iran yatoa ONYO tena kwa Marekani

    Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
  6. Echolima1

    Marekani yawekwa vikwazo viola dhidi ya Iran!!

    Idara ya Hazina ya Marekani iliweka vikwazo vipya vikubwa kwa sekta ya usafiri wa anga ya Iran Jumanne, ikiteua malengo 36 na kuidhinisha vyema mashirika yote ya ndege ya Iran yaliyobaki kama sehemu ya Operesheni ya Uchumi ya Trump. Hatua hiyo inajumuisha mashirika 27 ya ndege ya Iran, pamoja na...
  7. L

    Iran yateka Drone Nyambizi mpya ya Marekani

    Jeshi la wanamaji limenasa chombo cha kisasa cha Marekani kinachojiendesha chenyewe chini ya maji karibu na Mlango wa bahari wa Hormuz. Jeshi la Wanamaji la IRGC lilisema chombo hicho kilikabidhiwa kwa jeshi la Marekani mwaka 2025 na sasa kipo mikononi mwa Iran kama "nyara." Chombo hicho cha...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    Trump kasema mwezi ni mali ya Marekani 🌘

    🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.” marke Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀 Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? 🌕⚖️ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
  9. Richard

    Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

    Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe. Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa. Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa! Nafikiri ntaeleweka.
  10. Nafaka

    Dunia inapaswa kumuelewa Mchina anapokuwa anapambana na Marekani na hata kumuunga mkono

    Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona. Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba kwa Canada ambayo serikali yoyote yenye kujielewa haiwezii kuyakubali. Yani ni sawa ukaue uchumi na...
  11. B

    Ugumu wa maisha ya Marekani, wamarekani wengi weusi kwa weupe wanakimbia Marekani na wanasema hawarudi tena.

    Kuna sista wetu yupo Marekani tangu 1999 anataka kurudi bongo na anasema hatorudi tena Marekani japo ana uraia tayari.. Nyumba zake zote kajenga bongo. Anasema kujenga nyumba Marekani ni wizi mtupu. Kwanza hununui nyumba unachukua mortgage ambayo utatakiwa kuilipia kwa miaka 30 na baada ya miaka...
  12. CardoVerli

    Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  13. ChoiceVariable

    Dhoruba ya EL Nino Yapiga Hodi China,Yaporomosha Magorofa na kuleta Mafuriko Makubwa.Huko Canada na Marekani Barabara zajaa maji na magari kusombwa.

    My Take El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji. https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn Ila tusiogope sana Kila Nchi Ina aina zake za Hali ya Hewa na intensity...
  14. K

    Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

    Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
  15. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Kumbukumbu ya My Lai

    Uchambuzi wa Mohamed Said: Mzozo wa Iran, Marekani, na Kumbukumbu ya My Lai Mohamed Said anachambua mivutano ya kijeshi na kisiasa kati ya Iran na Marekani katika Ghuba ya Uarabuni, akirejea historia ya vita vya Vietnam: Kuhusu mtazamo wa siri wa wananchi wa nchi za Ghuba (Arab Gulf) juu ya...
  16. Echolima1

    Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent awaonya wanaofanya biashara na Iran

    Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameeleza kwa undani kuhusu mkakati mkali wa kuibana kiuchumi Iran. Ameonya kuwa serikali ya Trump inaweza kuzinyima benki, makampuni, au taasisi nyingine zinazofanya biashara na utawala huo fursa ya kutumia mfumo wa kifedha unaotegemea Dola ya...
  17. Nyani Ngabu

    Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  18. Frank Wanjiru

    Afghanistan: Taliban yaomba kurudisha uhusiano na Marekani.

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezialika kampuni za Marekani kuwekeza katika rasilimali kubwa za madini za nchi hiyo, huku ikitaka Marekani kupunguza vikwazo vya kiuchumi na kuachilia fedha za Afghanistan zilizogandishwa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban, Amir Khan Muttaqi, amesema...
  19. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Trump ni "Shakara" Nyimbo ya Fela Kuti

    https://youtu.be/4kZwTnK3aWA?si=9XYD5qppRfqb7zxl
  20. Mkalukungone Mwamba

    Heche amjibu Mzee Butiku: “Watanzania mpuuzeni, Chadema haifadhiliwi na Marekani”

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani. Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya...
Back
Top Bottom