Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea:
"...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi
Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china
Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na kuruhusu wanaume trans kuingilia michezo ya wasichna pure
US is cooked, soon magharibi wataona moto...
Mohamed Said, hizi hapa ni nukuu muhimu zinazohusu mzozo wa Iran na Israel:
Kuhusu Uwezo wa Kijeshi wa Iran dhidi ya Israel
Vyanzo vinaeleza kuwa hali ya sasa imebadilika na kuifanya Israel kuwa katika hatari zaidi:
"Iran sasa inaweza kuipiga Israel kad inavyotaka".
Inaelezwa kuwa Marekani...
Marekani imetangaza kufanya mpango wa dhamana ya visa kuwa wa kudumu, huku ikiongeza kiwango cha juu cha dhamana hadi Dola 20,000 kwa baadhi ya waombaji wa visa za biashara (B-1) na utalii (B-2) kutoka nchi 30 za Afrika, zikiwemo Tanzania, Nigeria, Uganda na Zambia. Mpango huo umeondoa kiwango...
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.
Ombi hilo limewasilishwa...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama zake sasa zikitarajiwa kufikia hadi $20,000.
Ilani ya awali, iliyochapishwa Ijumaa katika Rejista...
Mgogoro wa Iran
Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa njia ya ndege ya kurukia ndege ya kielektroniki.Vyombo vya habari vya serikali ya Iran
Helikopta hizo...
Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran kutokana na uhaba wa meli za kivita aina ya...
Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni...
Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot Interceptor missiles (PC2 na PC3) pamoja na sehemu kubwa ya makombora ya THAAD katika operesheni za hivi...
Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia.
Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24.
Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?.
Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anatoa uchambuzi wa kina kuhusu mzozo wa kijeshi kati ya Iran na Marekani, akiangazia mbinu za kivita, ukimya wa kimataifa, na mabadiliko ya kijiografia katika nchi za Ghuba. Hizi hapa ni nukuu muhimu kuhusu vita hivyo:
Kuhusu Kichapo na...
Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na kuhusisha karibu washirika wakuu wake wote wa kibiashara, ikiwa ni pamoja na China, Umoja wa Ulaya...
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.
Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa...
Ndo ile ukisikia adui yako kawa rafiki yako ndio hii sasa,
Baghdad, Iraq
Ni wanajeshi 12 miongoni mwa askari 551 amboa walijulikana kama "Super twelve' walipewa jukumu la kumlinda raisi Saddam Hussein mwisho mwisho wa uhI wake kabla hajanyongwa
Mmoja wao Barden Werper ameandika kitabu...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington.
Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari...
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
Daniel Ogama Adongo, mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL) na raia wa Kenya, amehamishwa kutoka Marekani hadi Kenya na mamlaka ya uhamiaji ya nchi hiyo baada ya kukiuka masharti ya visa yake.
Kwa mujibu wa mamlaka ya U.S. Immigration and Customs Enforcement (ICE), Adongo...
RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.