marekani

  1. Dr Adam Francis

    Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  2. M

    Marekani kupitia chama cha Democats wanazidi kuwapa nguvu wahamiaji wasioipenda Marekani na Muslim brotherhood, ipo siku watatoa mlio kuzidi Paris

    Senator alieshinda Michigan, El Sayeed amepongzwa na Muslim Brotherhood, Hiki ni kikundi cha kigaidi kilikatazwa nchi nyingi zilizoendelea za kiarabu. Huu ni msafara wa parade ya ushindi wa El Sayeed huko Dearborn Michigan, Unaiona hata bendera moja ya Marekani ? Kwenye jimbo la Ilhan...
  3. K

    Balozi wa Marekani Tanzania kuhusu kesi ya Lissu

    Kuhusu kesi fake ya Lissu
  4. econonist

    Kwa kweli Marekani ni model wa Demokrasia duniani.

    Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats. Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
  5. K

    Checks and Balances: Funzo la Marekani kwa Taifa Linalomtegemea Mtu Mmoja Katikati ya Utajiri wa Madini

    Katika ulimwengu wa siasa na utawala bora, misingi ya demokrasia imara inasimama juu ya mhimili mkuu mmoja: uhuru kamili wa mahakama. Mahakama inayojitegemea haipo tu kwa ajili ya kutatua migogoro ya kisheria kati ya raia na raia, bali ndiyo ngao kuu inayozuia mamlaka ya serikali na viongozi...
  6. IIT MWASISI OS

    Donald Trump: Watu wa Marekani wakichoshwa nami, nitahamia Israeli na kuwa Waziri Mkuu wao!

    Habari zenu wana-jamvi, Kama kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukaa kwake mbele ya mic na kamera hakuachi watu salama au bila jambo la kujadili. Safari hii amekuja na utani mwingine mzito uliowasisimua wengi kimataifa. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo cha runinga cha Fox...
  7. C

    Marekani imetangaza kusitisha ufadhili wa Dolla Billion 4 kwa Israel

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema amefikia makubaliano na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ya kusitisha ufadhili wa dola bilioni 4 kwa Israel kuanzia mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Fox and Friends kinachorushwa na kituo cha televisheni cha...
  8. Echolima1

    Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

    Marekani inashambulia Iran hivi sasa. Maeneo ya kurushia makombora huko Bandar Abbas na Qeshm yamelengwa. Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa. Mashuhuda katika mji wa Qeshm wameelezea kusikia milipuko mikubwa 5 hadi 6 mfululizo, ikifuatiwa na mitikisiko mikali.
  9. Echolima1

    Baada ya uchaguzi wa katikati huko Marekani Trump kuamua kuichapa tena Iran!!

    Marekani: Rais Donald Trump anapanga kuanzisha upya mashambulizi dhidi ya Iran baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula, inaripoti MS NOW. Maafisa watatu wa ngazi ya juu kutoka mataifa ya Kiarabu ya Ghuba, wakizungumza kwa sharti la kutotajwa majina, waliambia chombo hicho cha habari kuwa utawala...
  10. Echolima1

    Kamanda wa Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM), Admiral Brad Cooper atembelea Naval-Blockade ya Marekani huko Hormuz!!

    Kamanda wa Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM), Admiral Brad Cooper, ametoa taarifa kwa njia ya video kufuatia ziara yake katika eneo hilo, ambapo alishuhudia shughuli za Marekani na kutambua mchango wa baadhi ya wanajeshi zaidi ya 50,000 waliopo katika eneo hilo chini ya amri yake. Admiral Brad...
  11. funaku

    Flavio Bolsonaro akimbilia Marekani baada ya kushindwa Uchaguzi Brazil

    Huyu ni kibaraka aliyeangushwa na nguvu ya wazalendo wa brazil wakiongozwa na Lula da silva
  12. Q

    PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

    Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation...
  13. Jaji Mfawidhi

    TBS mko wapi? Trump na Ikulu ya Marekani wamesema Mirija ni hatari kuliko hata plastiki!

    Ikulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki. Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa. chupa za Maji na vinywaji za Dar es
  14. M

    Hamjakatazwa kuoa under 18 ila kuna utaratibu wake maalum, hata Marekani unaruhusiwa kuoa under 18 ila kwa kufuata sheria

    Nchini Tanzania, suala la kuoa au kuolewa chini ya miaka 18 linaongozwa na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 (Law of Marriage Act, Cap 29), ingawa kuna mabadiliko makubwa ya kisheria yaliyotokana na maamuzi ya Mahakama ya Rufani. Hapa kuna ufafanuzi wa masharti ya kisheria yaliyopo kwenye maandishi...
  15. Zack Abdul

    waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  16. M

    Wahamiaji wasio na vibali wameanza kuelekea Marekani, wakiombea ushindi wa Democrats katika chaguzi ndogo utalainisha sera za Trump

    Msafara Mpya wa Wahamiaji Waelekea Kaskazini Kupitia Mexico, Wakitarajia Ushindi wa Democrats Katika Uchaguzi wa Katikati ya Muhula: Inaripotiwa kuwa washiriki wanatoka Honduras, Guatemala, El Salvador, Nicaragua, Haiti, Venezuela na Cuba. Kipindi cha Biden wahamiaji zaidi ya milioni 10...
  17. C

    Vladimir Putin amekubali kuanza upya mazungumzo ya amani kati ya Urusi, Ukraine na Marekani

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amekubali kuanza upya mazungumzo ya amani yanayohusisha Urusi, Ukraine na Marekani, yanayotarajiwa kufanyika mapema mwezi Novemba 2026, kwa mujibu wa taarifa ya Kremlin iliyotolewa Jumatano, Oktoba 21. Hatua hiyo imekuja baada ya Putin kukutana na mjumbe wa...
  18. O

    Serikali yajibu Marekani baada ya Kenya kuwekwa kiwango cha tatu cha tahadhari ya Usafiri

    Serikali ya Kenya imejibu uamuzi wa Marekani wa kuongeza kiwango cha tahadhari kwa raia wake wanaopanga kusafiri nchini Kenya, ikisisitiza kuwa hatua hiyo haimaanishi kwamba safari kati ya nchi hizo zimepigwa marufuku. Soma pia Marekani yaweka tahadhari ya safari Kenya hadi level 3, yataja...
  19. R

    Huko Marekani kuna Mtanzania kamkaribisha A$AP Rocky na Rihanna kutembelea Tanzania na gharama zote kasema kubebwa na Serikali

    Sijui nisema tukio la kuchekesha 😂😂😂 Mtanzania na Mwanamtandao anayeishi Marekani anayefahamika kwa jina la Jack Banana alipokutana na rapa maarufu wa Marekani, A$AP Rocky, na kumualika yeye pamoja na mwenza wake, Rihanna, kutembelea Tanzania, akidai kuwa serikali ndiyo ingegaramia safari yao...
  20. H

    Waziri Mkuu awasili Marekani kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa Boralaug

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗠𝗪𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗢𝗥𝗟𝗔𝗨𝗚 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
Back
Top Bottom