marekani

  1. S

    Dr Congo wamegawa madini kwa marekani bure,tshekedi atapeliwa na Trump

    Drc Congo waliingia mkataba na Trump ya kwamba wakabidhi madini yao ya Dhahabu,Copper,zinc,lithium,manganese,cobalt nk na taaarifa yeyote ya madini yajayo yatakayo gundulika wapewe wao Kwa mbadala ya kuwalinda na kuwaondoa waasi na kumpiga mkwara kagame,mwisho wa siku ni kagame bado anaendelea...
  2. K

    Meli mbili za mafuta zalipuliwa katika Mlango wa Bahari wa Hormuz

    Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitangaza mnamo Novemba 13 kwamba mabomu yalilipua meli kubwa ya mafuta na meli ya pili ya mafuta, na kuacha meli zote mbili zikiwaka moto. Meli zote mbili zilikuwa zikisafiri katika njia ambayo IRGC haikuwa imeidhinisha, huku...
  3. Etwege

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    Mwana harakati wa siku nyingi aliyeweka makazi yake nchini Marekani Mange Kimambi amelalama kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania asiye na degree ya Sheria, Hamza Johari amefanya ziara nchini Marekani akiwa na msafara wake na kwenda kukutana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani...
  4. Keyboard_Warrior

    Viongozi wa Marekani wanaishi kwenye kambi za Jeshi kwa kuhofia kuuawa na Iran

    Unaambiwa viongozi wa Marekani wanaishi kwa kujificha huko, wametolewa majumbani mwao, sasa hivi wanaishi kwenye kambi za jeshi. Mbona huyu Iran kiburi sana?
  5. Kaka yake shetani

    Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  6. C

    Marekani: Safari za ndege zimeanza kurejea baada ya kusimama kwa zaidi ya saa nne

    Safari za ndege za ndani nchini Marekani zimeanza kurejea tena baada ya kusitishwa kwa zaidi ya saa nne kutokana na hitilafu katika mfumo wa mawasiliano ya simu, iliyozua wasiwasi kuhusu usalama wa shughuli za usafiri wa anga. Hatua hiyo ilisababisha safari nyingi za ndege kufutwa huku...
  7. K

    US: Safari zote za ndege marekani zimesimamishwa baada ya kudukuliwa

    Taarifa zaidi zinafata
  8. C

    Marekani: Mtu mmoja amefariki na wengine watano kujeruhiwa kwa kupigwa risasi Washington DC

    Mtu mmoja ameuawa na wengine watano kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika eneo la Logan Circle, katikati ya jiji la Washington DC, Marekani, katika tukio lililotokea Alhamisi asubuhi. Kwa mujibu wa polisi, shambulio hilo lilitokea saa 8:23 kwa saa za eneo hilo, katika makutano ya barabara za...
  9. bless on

    Congo: Jeshi nchi linaweza kuzidiwa nguvu na waasi mpaka likodi Wanajeshi kutoka Ulaya na Marekani?

    Hiki ndicho kinachoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Serikali ya Kinshasa imechukua hatua ya kuingia mikataba na kampuni za kibinafsi za ulinzi na kijeshi kutoka nchi za Magharibi ili kusaidia kulinda maeneo ya kimkakati, migodi, na kupambana na kundi la waasi la M23...
  10. Richard

    Bunge la Marekani laanza utaratibu wa kumhoji (impeachement) waziri wa ulinzi Pete Hegseth na kwa lengo la kumtoa

    Bunge la Marekani kupitia wabunge wa chama cha Democrats limeanza mchakato wa kumhoji waziri wa ulinzi bwana Pete Hegseth lengo kuu likiwa ni kumtoa kwenye nafasi hiyo. Bwana Hegseth atajibu tuhuma za Marekani kuishambulia Iran kwa silaha kali (lethal weapons) na pia kusababisha vifo vya watoto...
  11. MakinikiA

    Kwa nini Marekani anahangaika kuficha silaha zake....

  12. A

    Marekani yamrejesha Rwanda Jean Leonard Teganya ambaye anatuhumiwa kwa mauaji ya Kimbari ya 1994

    Mamlaka ya Mashtaka ya Rwanda (NPPA) imethibitisha kumpokea Jean Léonard Teganya, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi ya mwaka 1994, baada ya kurejeshwa nchini humo kufuatia kufukuzwa na serikali ya Marekani. Ndege iliyombeba Teganya ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  13. Echolima1

    Ulaya na Marekani zimevamiwa na Magaidi ya kiislamu kutoka Mashariki ya Kati!!

    Katika Kituo cha Kiislamu cha Irving, Texas, Dkt. Main Alqudah, kiongozi wa kidini wa ngazi ya juu katika kundi la Muslim Brotherhood, anasema: Tunazidi kupata ushawishi na kubadilisha utambulisho wa Marekani.
  14. Echolima1

    Marekani yaendelea kuwapelekea moto iran IRGC washindwa kujibu Mapigo!!

    Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran: Inawezekana sana kwamba hakutakuwa na haja ya hatua zaidi za kijeshi dhidi ya Iran. Inategemea kama watasaini makubaliano yenye nguvu sana. Ningefanya hivyo ikiwa ni lazima, lakini tunawapiga vikali sana. Hujui jinsi...
  15. comrade_kipepe

    Mliopo maeneo ya Texas hapo Marekani hembu tuambieni ukweli

    Inasemakana Texas imeshavamiwa na viuavijeshi, sio tena lile Jiji la wajanja macowboy. Texas nliipenda sana enzi za utoto wangu nikitizama movie za Chuck Norris
  16. Idugunde

    Nchi zote za ulaya na Marekani zisitishe uhusiano wa kidiplomasia na Tanzania na zisitishe misaada

    Natoa wito huu kwa sababu taifa hili limegeuzwa mali ya wanaCCM mtandao ambao wapo kwa ajili ya kunyanyasa raia wa Tanganyika na kupora mali za Watanganyika. Ulaya na Marekani waachane na taifa hili kwa sasa mpaka CCM mtandao watakapotoka madarakani
  17. J

    Kwa hiki walichofanya Marekani hawana lolote la kutufundisha kuhusu maadili na haki

    Marekani na Ulaya kwa sasa hivi wamefikia hatua mbaya, mwanaume anajigeuza mwanamke na anachaguliwa kuongoza umma... Hawa watu ndio watufundishe maadili ya kibinadamu na haki? Hapana kwa kweli
  18. masopakyindi

    Marekani: ni GenZ waliomuangusha Trump katika uchaguzi wa mid-term

    Vijana wa GenZ ndio wamefanya kazi kubwa kujiandikisha na kupiga kura dhidi ya siasa za TRUMP , huko Marekani. Vita ya Iran ilikuwa inatishia kuanza kuandikisha vijana kwenda vitani Irsn, hili halikuwapendeza. Pili hali ya uchumi ilizidi kuzorota ambapo chakula, mafuta na vitu vingi vilpanda...
  19. Pakome

    Katika Maamuzi mabaya yaliyofanywa na Israel na Marekani ni kumuua kiongozi Ali Khamenei wa Iran

    Israel na Marekani ilikosea sana kumuua kiongozi wa Iran Ali Khamenei Maamuzi hayo ya hovyo yatasababisha mgogoro mkubwa wa Kiuchumi, Kisiasa na Kidini usioisha Sio kweli kuwa viongozi wa Kiislamu ni Wakaidi kama Israel na Marekani wanavyodai Viongozi wengi wa Kiislamu hasa Wazee wa rika la...
  20. MakinikiA

    Walipa kodi wa Marekani wana akili kuliko walipa kodi wa Tanzania...

    Hawa watu wa marekani wana akili mingi sana. Moja ya sababu ya kukataa chama cha Trump ni sera ya pesa za walipa kodi wa marekani kupewa Israel kununua mabomu. Watanzania walipa kodi ni muda sasa kufanya kwa vitendo. Mtanzania mlipa kodi unajisikiaje unaposikia kodi zako zikitumika vibaya na...
Back
Top Bottom