Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika pia kama Kongresi limepitisha azimio hilo kwa kura 224 dhidi ya 194.
Hata hivyo azimio hilo lililopitishwa na Kongresi ambayo ina wawakilishi...
Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran.
Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait.
clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski 🤣
bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam
obama akala kichwa ya osama, rest in peace.
trump kala hii kamanda ya magaidi ya iran kassimu.
wakongwe wa zamani...
Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI liliwakamata raia wawili wa China mwishoni mwa juma kwa kosa la kupiga picha kinyume cha sheria kambi ya Jeshi la majini la Marekani huko Florida.
Hili ni tukio la pili kufichuliwa na mamlaka hiyo, matukio ambayo yamekuwa yakitekelezwa na raia wa China...
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.
Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
Marekani imesema ipo "tayari kujadiliana na Iran bila masharti" baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali Qasim Soleimani.
Katika waraka wake kwa Umoja wa Mataifa, Marekani ilijitetea kuwa ilimuua jenerali wa jeshi la Iran Qasem Soleimani kama hatua ya kujilinda...
Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo;
Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya...
Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...
Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa.
Serikali ya Umoja imepangwa kuundwa hadi mwezi Februari.
Wizara ya Fedha imeamua kuzuia mali za Taban Deng Gai...
Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA.
Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na Marekani.
Mpaka sasa haifahamiki...
Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran.
Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira .
Tupeane updates
*****
UPDATE
Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
Mzuqa wanajamvi!
Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza sababisha WW3. nchini Iraq alikuwa Mmarekani Muiraq ambaye alipata uraia wa Marekani mwaka wa 2017...
Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya...
Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Matumizi Mabaya ya Vilevi na Ulevi umesema Idadi ya vifo vitokanavyo na vilevi imeongezeka kwa haraka katika miongo kadhaa ya hivi karibuni, kulingana na uchambuzi mpya wa vyeti vya kifo
Kwa ujumla, vifo vinavyohusiana na unywaji wa pombe kwa watu...
Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani
Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...
Hii ni jumuiya na taasisi dhaifu kabisa zinazopokea hela chafu na nyingi kutoka USA.
Zimeanzishwa kwa ajili ya kulinda masilahi ya Marekani na Washirika wake.
Zimeanzishwa kuwalinda mawakala wao popote duniani; ukiwagusa unaambiwa unakiuka haki za binadamu.
Mawakala wao wakitengeneza scandal...
Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke.
Barua ilisema kuwa Marekani itaondoa vikosi vya majeshi yake siku zijazo au wiki baada ya wabunge wa Iraq kuwataka waondoke...
Januari 3 Pentagon ilitangaza kuwa ilimuua Jenerali Qasem Soleimani
huyo kufuatia agizo la rais Donald Trump.
Kifo chake kimetelezwa kwa ustadi mkubwa ili kuhakikisha Jenerali Qaseem hatoki salama maana Marekani wanautambua uwezo wake mtu huyo kwenye medani za vita.
Inaelezwa Qasem Soleimani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.