Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa...
Kitanzi cha vikwazo kwa Iran chapata mwokozi kunusuru mamilioni ya Wairan
Uswiss yajitwisha kuokoa jahazi baada ya Iran kuelemewa na vikwazo walivyowekewa na Marekani.
Katika msaada huo wa kibinadamu kwa Iran, Uswiss imeihakikishia Marekani kuwa haitavunja vikwazo zilivyotangazwa.
Misaada...
Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump.
Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu...
A massive demonstration –called for by a prominent Shia cleric– has flooded the streets of the Iraq's capital Baghdad, with thousands voicing their anger at the US military presence there.
Early on Friday morning, throngs of protesters – men and women, young and old – began amassing at...
Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani)
Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
Wabunge wa Bunge la Seneti nchini marekani wamelalamikiwa na wanahabari kwa kuvunja Kanuni Zinazosimamia Shauri la Kumwondoa Raisi madarakani (Impeachment Trial Rules) kwa kuingiza pipi na vitafunwa kwa siri kwenye Ukumbi wa Bunge.
Kwa mujibu wa kanuni hizo, vyakula na vinywaji vimekatazwa na...
Dr. Osatohanmwen Osemwengie ni mtengenezaji wa drones za jeshi la marekani. Mtu huyu anayetoa huduma kwenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani ni mzaliwa wa Edo State, Nigeria. Ana masters degrees 7 and PhD 3.
Vilevile anamiliki kampuni ya kutengeneza drones na ni muanzilishi wa the Open Robotics...
Rais wa Marekani, Donald Trump mnamo Ijumaa alimuonya kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa "mwangalifu sana na maneno yake," baada ya kiongozi huyo wa Iran kuitumia hotuba adimu kwa taifa hilo "kuidharau Marekani" na kulitetea jeshi la Iran.
Trump aliandika katika ukurasa wake wa...
Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad nchini Iraq Januari 8
Tehran ilirusha makombora dhidi ya kambi za Ain al-Assad (Magharibi) na Erbil (Kaskazini), ambapo baadhi ya wanajeshi...
Maseneta 100 wa Marekani wameapishwa Alhamisi kama baraza la mahakama litakaloshughulikia kesi inayomkabili Rais Donald Trump.
Hakimu mkuu wa mahakama ya juu zaidi John Roberts aliapisha maseneta kuhakikisha wanatenda haki bila upendeleo.
Wiki zijazo, maseneta wataamua iwapo Trump anastahili...
Baada ya Marekani kujinadi sana wana mitambo bora ya kujilinda dhidi ya makombora na shambulio lolote la anga, tambo za kuunadi mfumo wa Patriot ni bora na kupondea mfumo shindani wa Urusi wa S-400, imedhihirika mitambo ya Patriot ni feki baada ya kushindwa kuzuia shambulio la kwenye visima vya...
Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha.
Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi mshirika wa kibiashara wa Marekani anayefikia vigezo vya kisheria vya kudhibiti thamani ya sarafu yake...
Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema kutakuwa na operesheni mbalimbali dhidi ya vikosi vya Marekani katika kanda ya mashariki ya kati, ili kulipiza kisasi Marekani kuwaua makamanda wa Iran na Iraq mapema mwezi huu.
Bw. Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya televisheni kwa ajili ya...
Mzuqa,
Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu.
Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya...
Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika pia kama Kongresi limepitisha azimio hilo kwa kura 224 dhidi ya 194.
Hata hivyo azimio hilo lililopitishwa na Kongresi ambayo ina wawakilishi...
Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran.
Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.