Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala...
"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade).
Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba...
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu...
Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amesitisha mahusiano yote na Marekani na Israel, yakiwemo yanayohusiana na usalama, baada ya kuupinga mpango wa amani ya Mashariki ya Kati uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump.
Abbas alikuwa mjini Cairo kuuhutubia mkutano wa dharura wa...
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo
Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Na. M. M. Mwanakijiji
Serikali ya Marekani ingeweza kuchukua hatua kali zaidi kuliko ambazo imechukua kwa nchi rafiki kama ya Tanzania. Tangu wakati wa Kikwete Tanzania imejisogeza zaidi na Serikali ya Marekani kiasi kwamba ni sawa kabisa kuamini kuwa tuna uhusiano wa karibu na wa kirafiki na...
Jamaa hawa kwao kuua ni sawa walimuua
Gaddafi
Qasem Suleiman
Saddam Hussein
Osama Bin Laden
Wanagereza la Guantanamo yanayofanyika humo ni zaidi ya ushetani
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.
Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia...
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!
Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.
Nawasilisha!
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema...
Waswahili husema: "kama humjui shetani anza kupata maendeleo".
Taifa la Marekani limejengwa katika misingi ya damu na roho za watu! Wenyeji wa nchi ya Marekani ni "Red Hindis". Hawa wenyeji waliuwawa vifo vya maangamizi "extinction" na waliosalia ni kwaajili ya kumbukumbu ya historia kwasabahu...
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in...
Ndio!! Hizi ni pongezi zangu binafsi toka Mwanza kwa Mh Makonda kwa kutambuliwa na Marekani wababe wa dunia. Wameamua kumpiga pini kwenda Marekani.
Nitaeleza kwanini nampongeza Mh Makonda kwa hili.
Ikumbukwe Marekani mbali na kujitanabaisha kama taifa linalolinda haki za binadamu ila ndio...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.
Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
Wadau
Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani.
Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na...
Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.