marekani

  1. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

    Nimeinasa kwenye Mitandao ya Kijamii ya usembassytz kuhusu Kaimu balozi wa Marekani kwenda Kumtembelea na kumtakia heri ya Sikukuu Mke wa Muandishi wa Habari za Uchunguzi Azory Gwanda ambaye Alitoweka miaka kadhaa hadi sasa kwa kuchukuliwa nyumbani kwake usiku na Watu wasiojulikana (Siwezi...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpinga Trump yafanyika Marekani

    Waandamanaji walikusanyika mjini New York, Marekani hapo jana kwa lengo la kushinikiza kushitakiwa na kuondolewa madarakani rais Donald Trump. Mkusanyiko huo unafanyika katika kipindi kifupi kabla ya leo hii, siku ambayo Baraza la Wawaikilishi linatarajiwa kupiga kura kuridhia hatua ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa JamiiForums awajibu wanaosema anatumiwa na mabeberu, baada ya kuitwa ikulu Marekani

    December 16, 2019 Mwanzilishi wa JamiiForums akizungumzia kuhusu tuzo aliyopewa hivi karibuni na jinsi mtandao huu unavyokabiliana na hali ngumu ya kutenda kazi hasahasa tukiangazia mazingira ya sasa Tanzania. Hofu inajengwana na waandishi wenyewe lakini kama mitandao inafuata sheria na kanuni...
  4. Askari Kanzu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia amtaka Balozi wa Marekani nchini humo kuondoka baada ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Rais wa zambia, Edgar Lungu ameandika barua kwa serikali ya marekani kutaka kuondoshwa kwa balozi wa nchi hiyo nchini zambia. Hatua hiyo imekuja baada ya balozi huyo wa marekani nchini zambia Bw. Daniel Foote kunukuliwa akitoa maoni yanayopinga adhabu ya kifungo cha jela miaka 15 waliyopewa...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani yasimamisha mafunzo ya wanajeshi wa Saudi Arabia baada ya shambulizi la Florida

    Wizara ya ulinzi ya Marekani imesitisha kwa kiasi fulani mafunzo ya marubani wa kijeshi kutoka Saudi Arabia kufuatia lile shambulizi katika kambi ya kijeshi ya Marekani mjini Florida. Kulingana na wizara hiyo wanajeshi hao zaidi ya mia tatu hawatapokea mafunzo yoyote hadi taarifa zaidi...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani yasaini muswada kupinga vikwazo vya China dhidi ya waislamu

    Bunge la Marekani limepitisha muswada ili kupambana na vile wanavyovisema kuwa ni vikwazo visivyo na mantiki, mateso na unyanyasaji kwa waislamu wa jamii ya Uighur nchini China. Imelenga vile vikwazo vinavyowalenga wanachama wa serikali ya China na kumtaja kiongozi wa chama cha kikomunisti...
  7. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

    Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania. Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipiza kisasi kwa kodi ya kidigitali ya Ufaransa

    Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umependekeza ushuru wenye thamani ya dola bilioni 2.4 dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka Ufaransa kama jibini na mikoba ya wanawake, kulipiza kisasi hatua ya Ufaransa ya kuyatoza kodi makampuni maarufu ya kidigitali kutoka Marekani, kama Google, Amazon...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania China yalipiza kisasi dhidi ya Marekani kuhusu Hong Kong

    China imesitisha ziara ya manowari ya Marekani na kuiwekea vikwazo asasi moja ya Kimarekani, ikiwa ni hatua ya kulipa kisasi kutokana na kusainiwa kwa muswada unaowaunga mkono waandamanaji wanaodai demokrasia mjini Hong Kong. Mji huo wa Hong Kong ulio kitovu cha biashara, umekumbwa na machafuko...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Trump agoma kuhudhuria kikao cha uchunguzi dhidi yake

    Trump akaidi kushiriki katika kikao cha uchunguzi dhidi yake Wakili wa rais Donald Trump wa Marekani amesema Ikulu ya White House haitashiriki katika kikao cha uchunguzi bungeni Jumatano ijayo, ambacho kitatafakari uwezekano wa kupitisha kipengele cha kumfungulia mashtaka rais huyo. Wakili...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege Marekani yaua watu 9

    Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya Marekani, ndege moja ndogo ilianguka muda mfupi baada ya kuruka. Tukio hilo lilitokea katika mji wa Chamberlain...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza mazungumzo tena Taliban ili kusitisha mapigano

    Akizuru kambi ya kikosi cha jeshi la wanaanga la Marekani huko Bagram, Rais wa Marekani Donald Trump amekutana naRais wa Afghanistan Ashraf Ghani na kula chakula cha jioni na askari wa Marekani. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza wakati wa ziara yake ya kushtukiza usiku katika kambi ya...
  14. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

    Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake Nchini Tanzania imetoa tamko lake kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 24, 2019 Imedai kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kiasi kikubwa waliwatenga Wagombea kutoka vyama vya Upinzani katika mchakato wa Uchaguzi huo Imeeleza kuwa hali...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mkenya aliyefurushwa toka Marekani

    Ni kisa cha kusikitisha ambacho kimemkumba Peter Oloo Aringo Junior mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu Kenya Mzee Peter Oloo Aringo aliyepata kuhudumu kama mbunge na waziri ktk serikali ya Kenya. Kama tujuavyo wanasiasa wa Kenya waliofikia ngazi za kuhudumu ktk baraza la mawaziri wengi wao...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani: Watu wapatao kumi wapigwa risasi na wanne wafariki wakiwa katika Sherehe

    Watu walikuwa wamehudhuria sherehe ya kifamilia kwenye uwanja wa nyuma wa nyumba yao walivamiwa na mtu asiyejulikana aliyeanza kuwamiminia risasi. Polisi wa Mjini Fresno, Califonia wameripoti. Polisi waliitikia wito mida ya saa mbili usiku baada ya kupokea taarifa ya tukio hilo kutoka kwa watu...
  17. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Iran ndiyo waathirika wakuu wa vikwazo vya Marekani, hata taulo za kike wanakosa

    Mzuka wanajamvi! Njaa iliyoko Iran inatisha sasa hivi. Chakula chao kikuu wali na mayai vimeadimika. Kuna ufukara wa aina yake. Hii ni kutokana na vikwazo vya uchumi Marekani ameweka. Wanaoteseka sana ni akina mama. Pedi ama taulo za wanawake hamna kupatikana shida. Serikali inabana waandishi...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaonya kuhusu kusitisha uhusiano wake na Sudan Kusini

    JUBA, Sudan Kusini SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani. Tamko hilo limekuja baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na Kiongozi wa upinzani Dkt. Riek...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa yanayotokea nchini Marekani kwa Rais aliyeko madarakani kufunguliwa mashitaka?

    Wote ni mashahidi kwa yanayotokea nchini Marekani hivi sasa kwa Bunge la nchi hiyo kuanza mchakato wa kumfungulia mashtaka Rais wa nchi hiyo kwa matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kifupi katika kuelezea kuhusu sakata hilo ni kuwa inadaiwa kuwa Rais Trump alitumia vibaya madaraka yake kwa...
  20. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuhamia au kuishi unapokuwa nchini Marekani

    Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani. Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu. Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki...
Back
Top Bottom