maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana natamani mtu anipe muongozo wa maisha kwa kifupi ili nifanikiwe..ntamshukuru sana.

    Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuogelea ni sport tu… au ni skill ya maisha inayoweza kuokoa maisha?

    🏊‍♂️🌊 JE, KUOGELEA NI SPORT TU… AU NI SKILL YA MAISHA INAYOWEZA KUOKOA MAISHA? 🤯🔥 Watu wengi hupenda kuogelea kwa ajili ya burudani, fitness, au relaxation. Lakini ukweli ni kwamba kuogelea ni moja ya skills muhimu zaidi ambazo binadamu anaweza kujifunza. Mbali na afya ya mwili, kuogelea...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yanavyoweza kukufanya uishi mazingira usiyopenda

    Hamjambo wanabodi. Moja ya vitu vinampa mtu Amani na utulivu ni kufurahia mazingira ,iwe kazini,hotelini,mgahawani inshort kila unachofanya ni vizuri sana ukikifurahia. Lakini suala la ugumu maisha linaweza kukufanya ukawa mwenye msongo wa Mawazo muda wote kwasababu ya kubadilisha mazingira...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  5. JamiiForums Tanzania The Elite Betrayal: Jinsi Viongozi Wanavyocheza Kamari na Maisha ya Mtanzania

    Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning. Hata kama mliingia madarakani kwa mchongo wa kujiteua wenyewe, basic decency ingewasukuma kudeal...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa mazito Tanzania, lakini wananchi hawatakiwi kufanywa wajinga

    Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na Israel.” Sawa, vita vinaweza kuathiri mafuta duniani, hilo kila mtu analijua. Lakini swali la...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa Ventilator: Maisha Yapo Hatarini Hospitalini, hata katika hospitali kubwa ni changamoto

    Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini. Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini kama mtafanyia uchunguzi wa kina, linaweza kuwa makala inayoweza kusaidia kuokoa maisha ya...
  9. JamiiForums Tanzania Dharura ikitokea Nyumbani leo Je, utaweza kuokoa Maisha au utapanic?

    Fikiria mtu amezimia ghafla. Mtoto amekabwa na chakula. Mtu ameungua moto jikoni. Au ajali imetokea mbele yako… 👉 Ungejua hatua ya kwanza kufanya? 👉 Au ungeanza kuchanganyikiwa kwa hofu? Ukweli ni kwamba watu wengi hupoteza muda muhimu sana kwenye emergencies kwa sababu hawana elimu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Inawezekana kubalance kazi na maisha binafsi kwenye dunia ya sasa?

    Katika maisha ya sasa, watu wengi wamejikuta wakitumia muda mwingi kwenye kazi, biashara, au internet kiasi cha kusahau afya zao, familia, mahusiano, na muda wa kupumzika. Wengine wana pesa lakini hawana peace of mind, huku wengine wakichoka mentally kutokana na pressure za maisha ya kila siku...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana sio kwa madhaa haya

    Jf
  12. JamiiForums Tanzania Package ya kiongozi bora hapa tanzania ifanyiwe reforms. Awe anajua masuala ya kijamii,ngaz ya jamii yanavyotatuliwa.

    Wqkuu salama? Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni. Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Yoga inaweza kubadilisha maisha yako kimwili na kiakili?

    Katika dunia ya sasa yenye stress nyingi, presha za maisha, na uchovu wa akili, watu wengi wameanza kutafuta njia za kupata utulivu wa ndani, afya bora, na balance ya maisha. Moja ya njia zinazozidi kuwa maarufu duniani ni Yoga. Lakini swali kubwa ni: 👉 Yoga ni mazoezi tu ya mwili? 👉 Inawezaje...
  14. JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha Umekua na kukomaa kiakili na ndani ya miaka 10 maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri

    ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi. 2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Vijana msije mkadhani Maisha ni mepesi mkayaharibu kwa Siasa zisizo na Mashiko

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka vijana wasiharibu maisha yao kwa siasa na propaganda za chuki, badala yake wajikite katika jitihada na Elimu kwa kuwa ndio siri pekee ya mafanikio katika maisha yao. Amesisitiza maisha si mepesi kama wengi wanavyodhani, ni magumu na...
  16. JamiiForums Tanzania Kufeli Si Mwisho: Maisha Yanaendelea

    Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha. Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena. Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki. Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Inuka Tena Baada ya Kuanguka: Somo la Maisha

    Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha. Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena. Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki. Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Katika maisha halisi, unaweza kutunza siri ukiteswa kisawa sawa kama tunavyoona kwenye filamu.

    Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ? kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
  19. JamiiForums Tanzania Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  20. JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…