maisha

  1. Street brain

    JamiiForums Tanzania Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu Kenya wanaandamana kupinga ufisadi na ugumu wa Maisha. Sisi bandari zinauzwa na huku tunakosa hata chakula

  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu. Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Vijana wengi Tunakufa mapema, hauwezi kutoboa kwa mtindo huu wa maisha

    Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako . RAFIKI YAKO: Kaka...
  5. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

    Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
  6. Frank I Ritte

    JamiiForums Tanzania Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

    Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
  7. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Maisha ndio haya haya

    😊😊😊😊😊 🤭🤭🤭🤭🤭🤭 🤭🤭🤭🤭🤭
  8. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    Anaandika, Robert Heriel Acheni kabisa, yaani kuna mtu kwenye mahusiano ukiachana naye hesabu umekula hasara ya Maisha. Achana na hawa wajingawajinga wanaowaza uchi wao, uchi kitu gani bhana! Uchi hata Malaya anao. Kwani ni Mwanamke gani asiye na uchi? Kwa kweli uzoefu wangu Mwanamke Hana...
  10. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

    Habari, Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer). Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

    Habari za mihangaiko wanajamii, Hivi karibuni nafikiria kwenda Zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality. Kwa wenyeji na wazoefu wa Maisha ya Zanzibar Je, Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi)...
  12. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

    Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muda unaotumia kwa shughuli mbalimbali katika maisha yako yote

    Kulala: miaka 26 Kazi: miaka 12 Kuangalia TV: miaka 8.8 Ununuzi: miaka 8.5 Kula na kunywa: miaka 3.6 Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2 Mitandao ya kijamii: miaka 3 Mikutano: miaka 2 Utayarishaji: miaka 1.5 Kusafiri: miaka 1.5 Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25 Mazoezi: miaka 1.2 Katika baa na...
  14. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya wengi

    MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajiri ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa. BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako. RAFIKI YAKO: Kaka ,fedha yangu lini unanipa? Ni mwisho wa mwezi Sasa...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana waandalieni Maisha watoto wenu wasije wakaishi maisha haya huko Mbeleni

    Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa. Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Habari wana jamvi? Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti? Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
  18. son_african_star

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto pekee inayoyakumba maisha ya wengi

    Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu. Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana kwa kizazi hiki. Wengi hupata mawazo mazuri ila wengi huishia kwenye hatua ya awali yaani ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

    Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi. Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
  20. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Habari zenu wakuu ! Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha ) Asanteni wakuu!
Back
Top Bottom