maisha

  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kila nikikutana na picha ya huyu mzee lazima nipige goti chini na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake

    Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa. Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli. Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
  2. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Somo kwa wastaafu: Pesa za pensheni siyo za kufanyia biashara kama unataka kuishi Maisha marefu

    Watu hawana huruma na wastaafu, huwapa michongo ya pesa wanaishia kufa kwa pressure. Ukistaafu idea nyingi sana unaletewa na ndugu. Pana mstaafu alipata milion 250. Shemeji yake akamwambia tufate pikipiki China ukileta kwa jumla pesa ipo, akampa pesa shemeji yake akalala nazo kona China, hadi...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Furahia maisha na Marafiki (video)

    Watanzania hufurahi pamoja katika nyakati zote
  4. Mjegejo Wa Begeju

    JamiiForums Tanzania Dogo namwona hayupo Serious na Maisha kabisa. Nataka nimfukuze Home

    Anaamka asubuhi anajiangalia kwenye kioo. Nimemshangaa sana. Halafu anatumia dk 10 zote akinyoosha nguo. Haya maisha mtu hana kazi anategemea kula kwangu. Anataka apendeze . Ili iweje? Kama vile haitoshi kanaondoka asubuhi hii kanajipulizia na utuli. Nimekwazika sana. Huyu dogo kamaliza Chuo...
  5. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maisha magumu, lakini tumia kanuni hii 50%+30%+20 kuyalainisha

    50% ya kipato chako fanya matumizi ya muhimu / ya lazima mfano kulipa kodi au ada ya mtoto. 30% ya mshahara au kipato chako tumia kwa matumizi yasiyo na ulazima, mfano kukunua nguo, radio, saa, kwenda beach, kwa kifupi mwagilia moyo, hivyo ni vitu ambavyo sio vya lazima yaani usipovifanya...
  7. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

    Amani iwe na nanyi! Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi. Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ". Niongezee...
  8. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Sweta la baba yangu lenye historia ya maisha yangu

    Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati. Twende pamoja. Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997. Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa. Siku...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Una mtu anaeweza kukusaidia pale unapokua chini sana?

    Katika Mashindano ya mchezo wa kuogelea huko Budapest, Anita Alvarez wa Marekani alizama chini ya swimming pool. Akitazama huku na kule na kugundua kuwa Anita alikua ndani ya maji muda mrefu sana, kocha wake, Andrea Fuentes mara moja akaingia ndani ya maji na kumuokoa. Anita alikuwa amepoteza...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami. Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
  11. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

    Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili. Kuchukua Mwanamke maskini...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Maisha, mila na desturi za Wanyamwezi

    Muandishi: N. D. Yongolo, 1953 Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPm Kuungwa. 1 WATOTO 2 MICHEZO NA DESTURI ZA WATOTO 3 NDOA 4 DINI NA IMANI YA WANYAMWEZI 5 SHERIA NA HAKI KATIKA NCHI 6 UCHAWI 417 MATUMIZI YA DAWA 8 HOFU NA MIIKO YA VIFO 9 MAMBO YA POMBE 6510 MAMBO YA URITHI 11 JINSI...
  13. Patriot

    JamiiForums Tanzania Bandari: Kwa elimu ile na mapition ya maisha yale, tulitegemea nini Kwa rais wetu?

    Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa...
  14. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao. Lakini asilimia kubwa ya watu Dar es salaam wanaishi mazingira magumu sana, Chumba kimoja kilichojaa ndoo...
  15. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Nimerudisha imani kwa CHADEMA, nimerudisha imani kwa Mbowe, watanzania tuamke hii sasa inatosha

    Nimemsikiliza Mh mbowe kwa umakini sana, awali ya yote nisamehewe kwani kuna wakati nilihoji na kuponda maamuzi ya mbowe nikidhani ni 'mlamba asali' Yameongelewa mengi kuhusiana na mkataba wa Bandari na kampuni ya DP world, lakini maswali matatu ambayo mpaka sasa yamekosa majibu yamenifikirisha...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume alivyo katika maamuzi na maisha yake ki ujumla ni matokeo ya utamaduni

    Hellow africa Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi Ukweli upo hivi Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama...
  17. Mercypeter

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ni msingi wa maisha bora

    ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA Katika kijiji cha Kalimani, watu walikuwa hawana ufahamu wa umuhimu wa elimu. Wazazi hawakupeleka watoto wao shule, na badala yake, waliwafundisha jinsi ya kufanya kazi za shamba na nyumbani. Ijapokuwa watu wa kijiji hicho walikuwa na furaha, walikosa maarifa na...
  18. Yuda The Praise

    JamiiForums Tanzania Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

    Bwana Yesu Asifiwe. Tusifike mbali maisha ya machimbo ya dhahabu yasikie tu kwa jirani kama unampenda mtoto wako huwezi ruhusu akatafute maisha machimbo sisemi kwamba watu wasiende ila naandika hapa siwezi rudi tena machimbo kwangu mimi ni heri saidia fundi lakini sio maisha ya solovea maporini...
  19. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Kama umekutana na shida ya kusaidia au kusaidiwa pita hapa

    Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa. Msukumo huo unaweza...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendana na nyakati mbali mbali, kwenye maisha yako

    NAKUSHAURI Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo. Ngoja nikufundishe kitu. Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...
Back
Top Bottom