maisha

  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania 13 wahofiwa kupoteza maisha mitumbwi miwili ikizama Ziwa Victoria

    Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usimamizi Bora ni Ufunguo wa Maisha

    Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha watu au zaidi. Usimamizi bora ni uwezo wa kuyatenda Mambo yote haya katika Hali ya ubora. Mary Parker...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maskini ni kusikia tajiri kapata matatizo na si kuona umaskini unaondoka katika maisha yake.

    Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya. Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu. Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  5. Gill Rugo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unamuwajibishaje mtu anayemiliki maisha yako?

    Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°. Ilikua hivyo pia kwa Martin Luther King. Alikufa kwa ajili ya haki za watu weusi lakini 2020 Derek...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Haya maisha sio poa kwakweli

    Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki)

    Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki).
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

    Vilio vya Ukata na Biashara kupromoka vimeanza kusikika kutoka Chato kufuatia Mji kubakia magofu 😁😁 My Take Tuliwaambia lakini hamkusikia johnthebaptist ona Sasa mataa yanaongoza baiskeli 😁😁 “Mara ya mwisho kushuhudia wageni wengi na kupata hela nyingi ni wakati wa msiba wa Rais Magufuli”...
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal. Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  11. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Maisha huko tuendako yatakuwa magumu mno. Tujipange

    Juzi hapa India imepiga marufuku kuuza mchele nje ya nchi yao. India ndiye muuzaji mkubwa wa mchele duniani. Nchi tatu zinazofuatia zikijulisha kiasi zinachouza bado hazifikii kiwango inachouza India. Pia ni muuzaji mkubwa wa ngano, hii alishapiga marufuku kuuza nje siku nyingi. Matokeo yake...
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Maisha yanahitaji uwe karibu na watu na kujuana. Tabia za kuogopa kuchangamana na kujitenga tenga zinachangia sana umasikini

    Na si mara ya kwanza unaskia mtu anasema mimi sitaki mazoea na watu. Mimi sitaki marafiki. Mtoto wangu ni geti kali, sitaki hata marafiki zake waje. Niseme tu ya kwamba tabia hizi huwa zinachangia sana umasikini, Ni nani asiejua kwamba binadamu hawaaminiki ? lakini jibu ni kuwakwepa ? NO...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Wakala: Muongo mmoja wa kuwezesha Jamii na kuboresha maisha nchini

    Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj baada ya kuongoza kwa Idadi ya miamala katika kampeni hiyo. Wengine pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi ya Mtoto hutoa mwelekeo katika maisha yake

    Mtoto ni hazina ya taifa. Malezi ya mtoto huanza pale anapozaliwa na kuanza kujenga uhusiano baina ya mtoto na mzazi au mlezi wake. Naposema malezi bora aidha kutoka kwa mzazi wake au mlezi hupelekea mwelekeo au dira ya mtoto kama wahenga walivyosema "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" hapa...
  15. Dkisaka

    JamiiForums Tanzania Watu na Maisha

    Kuna watu kwenye maisha watakuumiza halafu wataanza kukulaumu wewe kuwa umewaumiza 🥴
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

    Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina. Hio...
  17. opondo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

    Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)... huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ni tabia zako zipi ambazo mwanao akirithi, zinaweza kumsaidia au kumuathiri kwenye maisha yake?

    Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika. Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au kuwaangamiza katika maisha yao hapa duniani.
  19. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo. je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
  20. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania Mawazo juu ya namna ambavyo tunaweza kukabiliana na ugumu wa maisha na kujipa uhuweni

    Kumbuka, hakuna suluhisho la haraka au rahisi la kutatua matatizo yote ya maisha, lakini kutumia mbinu hizi na kufanya jitihada zako binafsi kunaweza kuboresha hali yako na kukuwezesha kuhimili ugumu wa maisha kwa ufanisi zaidi. Kuelewa jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha ni muhimu sana kwa...
Back
Top Bottom