maisha

  1. Riwaya: Kibiritingoma

    Alikuwa mrembo wa sura, mwenye umbo la kuvutia na sauti ya kuburudisha. Akawa mashuhuri kama fedha, na adimu kama almasi. Sifa hizi, akazitumia kama fimbo, alipokutana na wanaume wenye tamaa kali ya ngono; alipokaribishwa kwenye dunia ya ukahaba. Kisha, akakutana na huyu. Kijana msomi, mwenye...
  2. Ukweli Mgumu Kuhusu Maisha Niliogundua - Nimeamua Kuwa Mkweli Nanyi

    Wadau, Nimekaa chini nikafikiria sana kuhusu jinsi dunia ilivyo, na nikaona niwaambie ukweli mgumu. Kama ukweli usiofurahisha unakukwaza haraka na hupendi kusikiliza, basi pita tu. Huu ujumbe si kwa ajili yako. Ukweli ni huu: Dunia ni katili. Utakataliwa. Utapoteza watu uliowapenda. Utafanya...
  3. Hofu ya dunia na maisha

    HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA? Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu. Kesho itakuwaje? Nitafika wapi? Nitafanikiwa kweli? Nitapata pesa? Nitakuwa salama? Watu ninaowapenda watabaki kuwa nami mpaka...
  4. M

    Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  5. M

    Katika safari yangu ya kuishi maisha bila stress niliamini pesa itazipunguza lakini sioni dalili, Je ni hadi uwe bilionea kuishi maisha bila stress ?

    Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini angalau kiuchumi kwa kijana ambae bado sijafika 40 Nimeshajenga kwangu, gari zipo, watoto wanasoma private...
  6. M

    Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  7. Mitandao ya Kijamii Inatufanya Tuishi Maisha Ambayo Sio Yetu?

    Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao. Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
  8. Hapa na pale: Maisha hayana Script

    HAPA NA PALE… VITA AMBAVYO WATU HAWAVIONI Kuna kipindi maisha yanakufundisha kwa njia ambayo hakuna shule inaweza kukufundisha. Unaamka asubuhi ukiwa na mawazo mengi, lakini huna hata uhakika siku itaishia wapi. Unawaona wengine wanaendelea, wengine wanajenga, wengine wanafanikiwa… na wewe...
  9. Maombi ya Yabezi ni muhimu sana kwa maisha yako, usiache kuyaomba.

    Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
  10. Maisha haya kosi maswali wapi ulipopata taarifa.

    Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu. Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio. Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo. Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao. Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali. Sasa wewe...
  11. Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana

    Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana. Mwaka 2001 nilikuwa bado mtoto. Sikujua mengi kuhusu maisha. Nilichojua ni kucheza, kula, kwenda shule na kurudi nyumbani. Lakini nikikaa leo na kuangalia nyuma, naona kumbe kipindi kile kilikuwa na mambo mengi ambayo sikuyaelewa. Mtaa...
  12. A

    Bima ya maisha

    BIMA YA MAISHA NI NINI Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa ( kulingana na thamani ya bima ) endapo atapatwa na janga ( kifo au ajali ya kudumu ) ndani ya muda wa...
  13. Maisha ya Mwanaume hayana tofauti na Nyeti zake

    Kama zilivyo nyeti zetu Hazijawahi kuwa ngumu au kukakamaa hadi pale wazo la mwanamke kuja kichwani au mwanamke aje laiv laiv.
  14. H

    Mhe. Ndejembi: Sifuri tatu ni muhimu kuokoa maisha ya mama na mtoto

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema juhudi za kuimarisha afya na uhai wa wanawake, watoto wachanga na watoto ni muhimu katika kujenga afya bora, nguvu kazi na...
  15. M

    Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  16. Ikifika wakati unaomba nafasi ya mwisho basi jiandae Kisaikolojia kuanza Maisha bila yeye

    Kuna binti tulikuwa na mahusiano, yalikuwa yanaenda vizur tu baadae mapicha picha yakaanza, mwanzoni nilihisi mimi ndio ninazingua maana kila argument ikitokea shida inarudi kwangu, nisichokijua kumbe napigishwa shoti kimkakati Kila mabishano yakitokea yale yote niliyowahi kukosea nyuma...
  17. R

    Dkt. Kigwangala: Sasa hivi comments za watu naona kawaida tu, watu wana hasira na vinyongo na maisha yao

    Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu mitandaoni kuhusu yeye kutoteuliwa. Amesema tayari watu wana hasira na vinyongo na maisha yao hivyo...
  18. Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  19. M

    Lets be honest: Watanzania tunaposema elimu ni ufunguo kuna cha ziada nje ya kuitumia kuajiriwa kujenga maisha kwa Mishahara, poshio, Rushwa na dili ?

    wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi. Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
  20. K

    Uchambuzi wa Kina: Wimbo 'No Condition is Permanent' wa Rocha Maria na Ujumbe wa Kifalsafa Kuhusu Maisha

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…