maisha

  1. JamiiForums Tanzania Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

    Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Madiwani wa Mchongo na Familia za Mapolisi watakuwa na wakati mgumu na kujutia maisha yao

    Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile. Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Ingawa mimi ni mshabiki wa maisha wa Tupac ila ningependa ku-admit kuwa biggie alikuwa an flow na wordplay nzuri kuliko Pac

    Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda. Ila big alikuwa picaso wa kudeliver sanaa ya kufoka foka iwe katika mpangilio na ubunifu wa kuteka sikio lako...
  5. JamiiForums Tanzania Nyundo na wenzake wahukumiwa maisha jela

    Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti. Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanga: Watu wawili wahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti msichana

    Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga. Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania My diary: Mdogo Mdogo hadi 31st December 2034 - Uwekezaji na mtindo wa maisha

    Siku hii imenikuta nje ya Tanzania. Nimekuja Nchi moja south Asia kwa shughuli za kikazi. Nitarejea tarehe 17 October. Si mtu wa kupenda kununua nunua vitu nikiwa safarini lakini this time, imenilazimu kufanya hivyo kwa ajili ya zawadi kwa watu wa nyumbani kwangu. Safari za mbali namna hii...
  9. JamiiForums Tanzania Usishindane na watu katika maisha bali shindana na wewe wa jana

    Nimeamua kuandika uzi huu kutokana na yale ambayo yananisikitisha sana nionayo katika jamii yetu Huwa tunapenda kushindana na watu katika maisha yetu bila kujua kwamba mwisho wa siku tunajiumiza wenyewe na kuathirika sisi wenyewe. Katu hata siku moja wanadamu hatuwezi kuwa sawa,ridhika na...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  11. JamiiForums Tanzania Ila maisha hayana adabu, dunia duara

    Maisha haya shikamoo. Sikuwahi kufikiri kuna siku nayo katibu mwenezi wa chama mstaafu kuna siku naye familia yake itaomboleza kama Watanzania wengine ila maisha ni kitu cha hatari kweli. Sasha kiburi kinakuponza kila siku nakukumbusha kuwa unamjua Jiang Qing hili Mama lilikuwa katili kushinda...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  13. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  14. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

    Ni maneno mazito sana na yenye kukata kama msumeno. Maana yake nini? Je watu wameamua kusema liwalo na liwe? Hawa wanamchukia samia sababu ya Dini yake tu hamna lolote.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Balozi ajitupa kutoka Ghorofa ya 22 ktk Hoteli jijini Paris, na Kupoteza Maisha

    Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Elimu kubwa vs Mafanikio ya maisha

    Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma. Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna hatihati hazina kukauka uchaguzi ukikamilika na maisha yakawa magumu zaidi kuliko kawaida

    Mara nyingi kipindi cha uchaguzi pesa nyingi mno hutumika kwenye kampeni na mbilinge mbilinge za hapa na pale kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani kwa namna yoyote ile mwisho wa siku uchaguzi ukitamatika hazina inabaki nyeupe na watanzania huwa wanakuwa kwenye kipindi kigumu mno cha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Je convoy ya Rais katika kampeni zake ina sanifu maisha ya mpiga kura?

    Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
  20. JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kujiuliza swali hili muhimu kwa maisha yako na wengine?

    Uichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje tunakubali kugeuzwa watu wa kisichoonekana wala kujionyesha kama siyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Hebu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…