maisha

  1. Ushauri: Nataka kutoka nje ya Tanzania kutafuta maisha

    Wakuu habarini za leo? Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa nchi zingine barani Africa au nje ya Africa. Kwanza kutoka nje ya Tanzania kwenda ku-make life...
  2. Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
  3. Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  4. Ni Harusi ipi ( gani ) inayonoga zaidi na ndiyo inatakiwa kwa Maisha ya sasa ( Magunu na Nafuu ) kati ya hizi Mbili zifuatazo?

    A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu? B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
  5. Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

    Moderator please DELETE #YNWA
  6. R

    Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele. Siku za nyuma ili...
  7. Tupeane stories za Kishujaa/Kibwege wakati tunatafakari Maisha Hapa Kijiweni

    Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe. Kuna jamaa mmoja kijijini nlikuta wanasimulia kuwa jamaa alikuwa mvivu haijapata tokea. Siku hiyo ndo alikuwa...
  8. Ikiwa suala la kiuchumi si tatizo kwako, ni vipi utayafurahia maisha?

    Habar zenu wakuu, Turud katika mada, Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs. Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako? How you can achieve the climax of life happiness? Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad...
  9. M

    Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    Akihojiwa kupitia EATV live, Kilikuwa kipindi kizuri hasa ukiangalia ile kombinesheni ya wadada hawa wawili yani Da Salama kama mnavyo mjua na Da Zuhura wakiwa pamoja mezani na Da Salama anavyomchimba kumtaka ya ndani na nje. Mahojiano yalikuwa mazuri sana kwani Da Salama anajaribu kumchimba...
  10. Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  11. MAISHA: Viumbe wote tunategemeana hapa duniani

    [emoji117]Duniani hapa kila kiumbe kipo kwa ajili ya kingine, yaani uwepo wako ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa wengine. Ukiamka ahsubuhi lazima umtafute binadamu mwenzako alipo. Siku utakapoamka na kutembea siku nzima bila kuona mtu ye yote, lazima hofu ikukamate. Unaweza ukasema hauna shida na...
  12. Stam Shaiban mix’s nganda aliyeishi maisha ya kifahari

    Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied. Catalogue la nyumba zenye thamani ya £5m Polisi walimkuta na £1m cash ndani ya nyumba. Kifungo...
  13. Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

    Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
  14. T

    Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

    Habari wana JamiiForums. Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke. Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye...
  15. Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  16. Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  17. Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Kuna watu wana amini maisha ya Dar ni magumu (kufanikiwa ni ngumu) wengine wanasema maisha mikoani ni rahisi (kufanikiwa ni rahisi)... Je, ugumu wa Dar uko wapi na urahisi wa mikoani uko wapi? (Huu ni mtazamo wa wengi humu kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya humu ndani kwa muda kidogo)...
  18. P

    Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

    Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi. Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga. Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
  19. Kuna ambao wapo katika hali aliyokuwa nayo Jean pierre Adam?

    Nimekutana na hili bandiko mahali kwa kweli nimesikitika sana na pia nampongeza sana mke wake kwani wengine wangekimbia. Huyu mama amekuwa bega kwa bega akimhudumia mume wake tangu augue hadi sasa huyu mama ni mzee na hajawahi choka na pia nimependa kwa jinsi akivokataa mme wake asichomolewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…