Tumeshazitazama sana video za hawa Jamaa wa Ghana wakicheza na majeneza misibani, fahamu tu kwamba hii ni kampuni rasmi na wanalipwa kufanya hivi na Benjamin ndie Mwanzilishi wa Kampuni hiyo, alianzisha huu mtindo ili kuondoa huzuni misibani ambako vilio hutawala zaidi kuliko kusherehekea maisha...
MAISHA NI VIPAOMBELE
Na, Robert Heriel
Maisha hayana bahati nasibu, maisha huja kwa makusudi maalumu. Hakuna jambo linalotokea kwa bahati, kila litokealo chini ya jua limepangwa kwa makusudi kabisa.
Watu wengi hasa wale tuishia katika ulimwengu wa tatu tunaamini kuwa maisha hayana Fomula...
Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami.
Naombeni ushauri kwa nyogeza tu alinichanganya baada ya kumfumania na mchepuko mwaka na nusu sasa ananiomba msamaha mpaka leo anajutia na kulia kila wakati...
Habari zenu,
Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi.
Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu.
Haijalishi umesoma au...
Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni...
Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM.
Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka.
Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa...
Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais.
Idara ya serikali ya Marekani inayoratibu shughuli ya...
Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo katika taifa la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo ubakaji wa watu wengi.
Mahakama ya kijeshi ilimpata Ntabo Ntaberi na hatia ya muaji, ubakaji, utumwa wa kingono na kuwasajili...
Ntahamia rasmi mkojo wa punda (balimi) ntaziacha heinken
bando la data ntapunguza matumizi, kwa kiasi kikubwa nitatumia free basics
Hiki chombo changu cha usafiri kinachotumia lita kadhaa kila siku itabidi nikiuze ninunue ist au vits kukabiliana na uhalisia
1.KABLA YA KIFO
Nlitumia muda mwingi kazini kuliko kwenye familia.
Sikuwaomba msamaha watu nliowakosea makosa maksudi.
2. BAADA YA KIFO
Binafsi ntamaindi sana jinsi ntavyopostiwa r.i.p hata na watu ambao walikuwa hawana msaada kwangu na hata hawakuwahi kunicheki kwa miaka zaidi ya minne. hizo...
Habari zenu?
Nakumbuka 2014 kipindi naingia Dar es salaam rasmi kutafuta maisha nilitamani angalau nami ifike siku niwe nimepanga hata chumba cha giza.
2015 nikapanga chumba Keko cha 30. Muda kidogo nikapanga cha 35, then nikapanga chumba na sebule kwa 100k. Then nikanunua viwanja na nimejenga...
Habari wakuu.
Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako.
Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
Kijiko alizaliwa mjini, kijana msafi sana kwa muonekano. Alimaliza masomo na kupata ajira, alifanikiwa kufungua na biashara ya maduka ya chakula. Kijiko hakua na shida ya pesa ya kula ingawa hakua tajiri.
Alikua kwenye mahusioani na binti mmoja mwajiriwa katika ofisi ya serikali. Binti...
From my experience nitaweka vitu viwili vitatu vidogo ila ni muhimu sana kwa watafutaji tuliotoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha.
Maisha popote pale yapo na yanaweza kukunyookea. Ila vijana wengi tumekuja Dar kwasababu mbalimbali. Dar es Salaam ni rahisi kupata fedha kuliko mkoa wowote...
Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34.
Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga "rushwa na hali mbaya ya maisha".
Mtu huyo alifukuzwa kazi katika benki kwa kuanika vitendo vya rushwa vilivyowahusisha maafisa wa...
Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.
Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya...
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa.
Zaidi....
Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.