maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua chochote kuhusu Maisha ya utafutaji Zanzibar

    Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia. Naombeni mawazo yenu nini afanye huko niweze kumshauri huko aliko. Asanteni.
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunakubalije Watanzania wote maisha yetu yashikiliwe na mtu mmoja?

    Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi. Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu? Na. M. M. Mwanakijiji Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
  5. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Vitabu 31 vya kusoma mwaka 2021 ili maisha yako yawe bora zaidi

    Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake. Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma. Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa. Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
  6. Francis12

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima naombeni mpigie Kura Malisa GJ amekuwa mchango mkubwa sana kwa Jamii katika kugusa maisha ya Watanzania

    Anaandika Comrade Malisa GJ. Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa. Akanitumia...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uzee mambo gani ya kufanya nikiwa najiandaa na uzee wangu?

    Za leo waungwana, uzee sasa umepiga hodi na nguvu zimeanza kuniishia. Maisha ya uzee yameshaniingia, ni vitu gani nifanye au niandae, ili nisikose mlo pamoja na majukumu mengine ya muhimu ndani ya nyumba wakati huu kabla sijakaa chini kutokana na kuishiwa kabisa nguvu ya kutafuta. Asanteni...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nataka nihame Tanzania, Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi?

    Nina elimu kubwa tu na umri unasogea. Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi? Nimechagua hizi nchi kwa sababu ukiwa na passport ya Tanzania huhitaji viza kuingia. Natanguliza shukrani zangu.
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tusitishane: Hakuna maisha baada ya kifo!

    Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!. Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amepinda mgongo kila siku ili familia yake iwe na maisha bora ila leo kagundua mtoto sio wake

    ..... Nyuzi ifutwe ..... Please delete Moderator
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

    Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa. Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
  12. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

    Wakuu habari, mimi ni mdau wa maswala ya ujenzi (civil engineer) nataka nifanye maisha ambayo kwa kiasi kikubwa yatakuwa yanahusiana na sekta ya ujenzi. Je, kati ya Dodoma na Babati ni mji gani utakuwa poa zaidi? Na je gharama za maisha kwa ujumla zikoje maeneo hayo. Pia kati ya miji hiyo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama eneo uliko maisha magumu na biashara zako haziendi hamishia Chato. Huku Mambo Safi

    Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote. Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu. Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya lockdown yatakua kama safina ya Nuhu ilipopata habari njema baada ya gharika.

  15. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Elimu ni ufunguo wa maisha

    "Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
  16. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu sana ila nina imani ipo siku nitafanikiwa

    Maisha yanazidi kunichachia kila kukicha, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yoyote mpaka ninahisi nimerogwa. Mtaani thamani yangu imeshuka mno maaana nilipiga hatua kidogo ya kielimu ila nikakosa mtu wa kuniendeleza baada ya kufiwa na mama (baba yupo ila ni baba jina) hivyo nikakata tamaa ya...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

    Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili. Suala hili halijawai kubadilika tangu awamu ya pili hadi sasa. Kwa sasa Tanzania, Habari ya mjini ni Chato, kivuko ni Chato, vyuo ni...
  18. martinezstavo

    JamiiForums Tanzania Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  20. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia 2021 ili uishi maisha yako

    Kwaheri 2020 karibu 2021 Awali ya yote tuna kila sababu ya Kumshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa neema na Rehema.Mwaka 2020 umekuwa na changamoto lukuki,katika sekta zote,Kiuchumi,kiafya,kijamii na kisiasa.Lakini bado Mungu wetu ni mkuu sana! Tunafahamu kuwa tuna ndugu,jamaa,marafiki ambao...
Back
Top Bottom