By Mchambuzi kupitia Twitter:
TANZIA
👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile
Tafadhali tuchukueni hatua.
Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama.
Unajua sisi tumekua katika mazingira ambayo kuna vitu huwa tunaona vya kawaida kumbe sivyo. Yaani tunaamini ndio ilivyo kwa watu wote.
Yale maisha mfano watu walikuwa wanalalamika kuwa bei ya sukari kuna kipindi imepanda nikawashauri badala ya kununua sukari wawe wananunua Asali ndo nzuri...
Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma.
Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
Habari wanabodi!
Bado najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu na majibu sipati.
Nahisi wazee wa zamani waliturocha
Leo hii namkumbuka Mr Yebo alishawahi "kuimba wazeee wa zamani mna......."
"Wazee wazamani mli tu............"
Je bado elimu ni ufunguo wa maisha,au pesa ndio imebaki kuwa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine.
Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini...
Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo:
1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona
2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
Maisha magumu sana mpaka nataka kujaribu ushirikina watu wananishauri huenda nyota yangu imefifishwa maana kila jambo linaishia njiani na kuharibika kabla halijafanyika.
Nimeshaahidiwa kazi hata humu JF na baadhi ya members lakini ghafla ukungu unaingia mtu anaingia uzito hatimaye ananipotezea...
Wasalam,
Leo nimependa kushare nanyi baadhi ya mambo ya kusikitisha yanayoendelea katika mahakama za mwanzo na si kwamba yanafanywa na mahakimu wote la hasha bali wachache wenye nia ovu. Naandika haya si kuwa nimesimuliwa hapana ila ni mambo yaliyonitokea miaka ya nyuma kipindi biashara yangu...
Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu.
Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi.
Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
Unajua kwanini HUWA SIKUBALIANI NA KUOA KABISAAA...
Sababu ni hiii 👇👇
Mwaka 2015 nilikutana na binti wa kichaga Facebook.
Tulianza urafiki na baada ya muda mrefu tukaingia uchumba.
Nilimuahidi kumuoa na kuthibitisha hili nikawa close na familia yake.
Alikua anaishi na dada ake mjini Dsm...
Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku.
Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa.
Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi...
Habari
Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi.
Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa.
(Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story)
Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
Habari za wakati huu,
Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest...
Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'.
Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
Naamini Serikali ya CCM hasa ya bara itakuwa imenuna kwa taarifa za kiongozi mkubwa kama maalim kuumwa Corona kutoka public
Kwa saikolojia ya Rais Magufuli ambaye yeye hataki kabisa kusikia habari za athari za korona nchini zikisambaa, naamini kabisa kuwa atakuwa hajapendezwa na taarifa za...
Leo nimeenda kununua sabuni ya mche ya Jamaa, bei niliyoijua ni sh 2,000 kwa mche, kuanzia leo baadhi kila nilipofika nikajua nitapata kwa bei ya zamani nimeambiwa imepanda wanauza 2,200 hadi 2,400.
kati ya bidhaa ambazo wasio na uwezo huhitaji haswa ni Sabuni, Sukari, mafuta... vyote hivi...
Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha
FRIDAY JANUARY 29 2021
Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.