maisha

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sera za nchi zinabadilisha maisha ya mtu na kuamua kuhama nchi kama Darius Phillip

    Darius Philip alizaliwa Tanganyika, wazazi wake walivutiwa na utawalawa wa British East Africa Empire na kusikia Tanganyika kuna ardhi kubwa walihamia miaka ya 1940 na kufanya kilimo cha biashara. Philip alisoma Tanganyika na kumalizia elimu ya juu Uingereza alikosomea uchumi wa kilimo...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kurahishisha maisha ya watoto: Nawezaje kufanya mtoto apate uraia wa Zanzibar?

    Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha. Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar. Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
  3. mpinzani

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenishinda, vita imenishinda

    Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu, Matatizo yako ni yako, binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Stress za maisha hazisababishi vidonda vya tumbo

    Kumekuwa na imani kuwa vidonda vya tumbo husababishwa kwa kiasi fulani na stress za maisha na msongo wa mawazo . Hili jambo si kweli. Stress zinazosababisha vidonda vya tumbo ni pyhsiological stress, hii ni stress inayotokea pale mwili unaposhindwa kufanya kazi vizuri. Mara nyingi hii hutokea...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yanachanganya sana wadau kila kitu kinapanda bei

    Wadau saivi Ges imepanda bei Vifurush vya simu vimepanda bei Kodi ya ardhi majengo zimepanda bei Vifaa vya ujenzi havishikiki tena Mafuta ya kula yamepanda bei Ngoja na mimi nianze kujishughulisha na CCM naweza pata neema...! Hakuna namna😁
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  7. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Rais wa Honduras ahukumiwa kifungo cha maisha nchini Marekani

    Rais wa Honduras Juan Orlando Hernandez atoa ujumbe baada ya kaka yake Juan Antonio "Tony" Hernandez kupatikana na hatia ya ulanguzi wa madawa ya kulevya nchini Marekania, huko Tegucigalpa, Honduras Oktoba 18, 2019. Tony Hernandez, kaka wa rais wa sasa wa Honduras na mbunge wa zamani nchini...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana. Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
  9. Rodyizzy

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Habari zenu Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana 1:Kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye...
  10. Cotton pamba

    JamiiForums Tanzania Ombi langu juu ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi )

    Wakuu poleni na matanga ikiwa bado tunaendelea kuomboleza msiba mzito wa taifa, kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa Mh. John Pombe Magufuli ambaye Mungu kamwita. Naomba sasa nigusie jambo kuhusiana na Mei Mosi ijayo. Ama hakika watumishi wa umma tumekuwa wavumilivu kwa kipindi kirefu bila ya...
  11. Darucha

    JamiiForums Tanzania Watoto zangu sitataka waishi maisha niliyopitia baba yao

    Mimi ni kijana age 20's nina ndoto ya kuja kuwa na familia yenye furaha,amani,upendo na kumtukuza mungu pia naamin mungu atafanya kweli juu ya tumaini langu hili Sina mke mchumba Wala mtoto ila panapo maajaliwa naamini nitakuwa navyo vyote hivyo Kati ya vitu ambavyo nitapigana navyo basi...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Changamoto mbalimbali za maisha ya ndoa. Hii ni changamoto inayonikabili, karibu na wewe utueleze yako tuzitatue

    Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke. Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanadamu ni safari yenye vituo

    Safari ya mwanadamu inaanzia tumboni mwa mama yake. Hakuna anaeomba mama atakaemzaa, unajikuta uko kwenye familia. Inaweza kuwa duni au tajiri. Kituo cha kwanza cha maisha kinaanzia kwenye kuzaliwa. Unavyokua mkubwa, kuna wanaotaka kukufahamu vizuri, watauliza wewe ni mtoto wa nani? Wazazi...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nimelipenda hili bango la kanisa. Je, linatufundisha nini katika maisha yetu ya kila siku?

  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  16. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Fahamu artificial intelligence (AI)

    Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya kieletroniki kama simu, computer, luninga n.k. Artificial Intelligence (AI) ni nini? Mwaka 1956, mwana...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

    SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

    Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    Habar zenu wadau, Nimetafakari sana leo juu ya vifo vya viongozi wetu vilivyotokea tangu mwaka jana. Asilimia kubwa ya viongozi wamekufa vifo vya ghafla. Wachache sana ambao waliugua muda mrefu lakini akili imenifanya nitafakuri juu ya huyu ndugu anaitwa Lowassa; aliyeonekana ni mdhaifu kuanzia...
Back
Top Bottom