maisha

  1. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

    Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hali unayopitia katika maisha mapito tu, kaza mwendo

    Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na alifaulu darasa la saba na kupata nafasi katika moja ya shule za wasichana za vipaji maalum Dar. Wavulana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke aliye tayari kwa ndoa halali

    Mimi ni Kijana Me Umri 32 Rangi: Mweupe wastan Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri Sijawahi oa wala sina mtoto Dini: islam Elimu: Bachelor Degree Height: 5.7 Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana Mke anayehitajika Umri:22-29 Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan Rangi: Mweupe...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  7. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25

    Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

    Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...! Na mzee wangu amekua mastari wa mbele...
  9. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

    Shalom, Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu. Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

    Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index). Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1. Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni...
  11. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

    Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Katoto kenyewe kabaya, kaache kafe

    NI STORI NZURI YENYE FUNZO HASA WALE TUNAOCOMMENT KTK MITANDAO YA KIJAMII BILA BUSARA, HEKIMA WALA STAHA. MY STORY: KATOTO KENYEWE KABAYA, NANI ATAKACHANGIA, ANGEKAACHA KAFE TU! Tofauti na watu wengine ambao wakimaliza chuo wanahangaika kupata kazi mimi haikua shida kabisa. Nilizunguka mara...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi. Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi; Jaffo kutoka kusimamia bajeti ya Tsh 3 trilioni TAMISEMI hadi 28 bilioni Muungano na Mazingira

    Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni. Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano salama kwenye Maisha

    MAKABIDHIANO SALAMA KWENYE MAISHA Anaandika, Robert Heriel Andiko hili laweza somwa na mtu yeyote. Halibagui mtu yeyote yule. Leo nitaangazia jambo muhimu sana ambalo wakati mwingine baadhi yetu hatizingatii. Je umewahi kusikia mtu akisema; amekabidhiwa Mkoba? Kwa watoto wa siku hizi huenda...
  16. Mr Bundi

    JamiiForums Tanzania Siku gani ulipokea simu nyingi zaidi katika historia ya maisha yako?

    Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa. Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa diaspora wenzangu na wale wanaokwenda kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Habari zenu wakuu, Ama baada ya salam napenda nijikite kwenye mada ili nisiwachoshe wasomaji. Ndugu zangu unapokuwa nje ya nchi kwa lengo fulani la kutafuta maisha, ili ufanikiwe unatakiwa ufanye haya ninayoyataja hapa chini, lkn pia kama kuna mengine ambayo sikuyaandika hapa ktk list yang basi...
  19. April26

    JamiiForums Tanzania Hii siku 26/4 na matukio yake ndani ya maisha yangu

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...... Kazi iendelee. Leo nahitaji ku-share matukio mhimu katika maisha yangu hasa yaliyo tokea tarehe 26/4 (April26) kwa vipindi tofauti tofauti. Tukio la kwanza hii ndiyo tarehe niliyo letwa duniani (birth day) lakini nje na...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

    Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
Back
Top Bottom