Habari zenu wataalam,
Najua wengi wetu tumepiga hatua tulipo sasa baada ya kukutana na changamoto fulani huko nyuma ambayo imekua ni fursa.
Kuna kijana wa karibu nilikua namuona ana jitihada sana katika masomo ya habari (chuo kikuu) nilipojaribu kumuuliza ni kipi kinachomfanya awe bize zaidi...
Nawasalimu wote.
Kama mada inavyojieleza.
Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani.
Awali...
Salute.
Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuanza ningependa kuwakumbusha baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye nyimbo za wasanii wetu hapa nchini.
1. "Hawana alama binadamu wanaokuja kukuhukumu" - DARASA CMG.
2. "Sichagui sibagui atakayenizika simjui" - PRINCE MWINJUMA MUUMIN.
Tuendelee....
Kwenye maisha yetu ya kila siku...
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki. Natumaini sote tu wazima wa afya na wenzetu ambao wanapitia magumu Mungu awafanyie wepesi.
Kila mmoja wetu ana makazi katika eneo fulani. Makazi ndio stara kubwa kwa mwanadamu, ndio maana wazee wetu wa zamani walifanya mpaka mapango kuwa sehemu ya...
Habari za siku wana JF,
Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya...
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba.
Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
Wakuu poleni na harakati za maisha.
Mpaka kufikia mwaka 2018 maisha kwangu yalikua tambarare kabisa, sikua na uchumi wa juu lakini nafikiri nilifikia uchumi wa kati wa juu. Biashara ya kuingiza pesa kila siku ambayo niliisimamia mwenyewe na nyingine hizi za kuleta hesabu kwa wiki kama boda boda...
Habari za mida wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.
Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya...
MAAJABU YA TEBO YA TISA KWENYE MAISHA YA MWANADAMU
9×1=9 miez ya kuishi tumboni
9×2=18 umri wa kutambulika mtu mzima kwa baadhi ya nchi
9×3=27 miaka ya ukomavu na binadam kijana anaweza anza kunitegemea kila kitu makazi,malazi na mengneyo
9×4=36 miaka ya kuweza muda kulea( kuanzisha au...
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa.
Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote
Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
Wasalaam,
Jamani hali ya maisha imekua ngumu, kila kukicha mikosi.
Kila dili linafeli, ukiwa na shida marafiki wanakimbia, ukiomba msaada wanadhani unawakejeli hawakupi.
Ukiwaza kuroga upate pesa za ndago roho inasita maana umelelewa katika ukristo mpaka ndani ya moyo wako.
Nikijipa moyo...
Habarini za jioni wana jamvi.
Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja.
Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani.
Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa.
========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.
Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa.
Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye...
Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje.
Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.