maisha

  1. Matanga

    JamiiForums Tanzania Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

    Wakati fulani nikisoma shule ya Sekondari, baba alikuja kunitembelea shuleni, nikashangaa kwa nini amekuja kwa miguu na ana mavumbi mengi miguuni? Akanikabidhi TZS 12,000/= yani 10,000/= ya kulipia hostel na 2,000/= ya matumizi. Nikamuuliza mbona leo huna baiskeli? (mara zote alikuwa akiendesha...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China inaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye miradi inayogusa maisha ya watu moja kwa moja

    Hivi karibuni Mkuu wa Chuo Cha Usafirishaji cha Tanzania (NIT) Prof Zacharia Mganilwa, alisema mabadiliko yanayoendelea kutokana na upanuzi wa chuo hicho yatainua hadhi na ubora wa chuo hicho na kuwa chuo kikuu cha kisasa. Mabadiliko yanayoendelea kwenye upanuzi wa chuo hicho, ni sehemu ya...
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

    Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri. Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Serikali hii yameongeza gharama za maisha

    Kutokana na Majigambo ya Serikali hii mara tumepandisha madaraja na kulipa mabilioni ya nyongeza sasa yameanza kuleta madhara kwa mfano sasa chakula cha samaki ya zamani ilikuwa elf 8 sasa ni elfu 10 yaaninongezeko la 20% .Ukiuliza wanasema kodi kuongezeka lakini serikali kulipa wafanyakazi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 130 wapoteza maisha kutokana na joto kali Canada

    Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto. Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee. Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo...
  6. cleverr

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kufanya biashara Mbeya, ushauri wenu tafadhali

    Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na Mbeya Mjini. Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari...
  7. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

    Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke. Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
  8. Haluahalua020

    JamiiForums Tanzania Je, maisha yako yametokea vile ulivyopanga?

    .
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha yalivyokua katika Jeshi ma Warumi

    Warumi wa kale ndiyo walikua wazalendo wa kweli. Katika jeshi wa Warumi kuanzia cheo cha Major kwenda juu ni lazima uwe Mrumi kwa kuzaliwa. Askari wa wa chini ya cheo cha Major walikua ni raia nchi wanayotawala. Kazi ya Major kama hakuna vita ni kujenga miundo mbinu. Kuanzia barabara...
  10. kamituga

    JamiiForums Tanzania Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani. Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

    Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada. Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko. Nilishindwa kulala, hii maana yake...
  12. P

    JamiiForums Tanzania CCM ni Chama kinachoumiza wananchi wake. Hili dubwasha likipigwa, Wananchi watashusha pumzi na watafurahia maisha

    Wiki iliyopita, kuna jirani yangu mwanaye alipata ajaliya pikipiki, Yule kijana aliumia si saana. Alienda hospital ya wilaya, akatibiwa na kupewa dawa, Usiku wa siku hiyo akiwa nyumbani amelala, alihisi maumivu makali sana, akaamua kumeza Diclopar nne na panaldo mbili ili kutuliza maumivu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  14. Mangole Valles Michael

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutoka nje ya Tanzania kutafuta maisha

    Wakuu habarini za leo? Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa nchi zingine barani Africa au nje ya Africa. Kwanza kutoka nje ya Tanzania kwenda ku-make life...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
  16. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Harusi ipi ( gani ) inayonoga zaidi na ndiyo inatakiwa kwa Maisha ya sasa ( Magunu na Nafuu ) kati ya hizi Mbili zifuatazo?

    A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu? B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

    Moderator please DELETE #YNWA
  19. R

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele. Siku za nyuma ili...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tupeane stories za Kishujaa/Kibwege wakati tunatafakari Maisha Hapa Kijiweni

    Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe. Kuna jamaa mmoja kijijini nlikuta wanasimulia kuwa jamaa alikuwa mvivu haijapata tokea. Siku hiyo ndo alikuwa...
Back
Top Bottom