Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa pesa nyingi lakini ningekuwa nimepiga hatua kubwa.
NINI KILINIPONZA?
1. UVIVU NA NJIA MKATO
Shule ya...
Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko.
Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19.
Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
Na Chu Joe
Habari za muda huu Watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk.
1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
Ni kutafuta kilakitu....
Utafute mke, pesa, amani, usingizi na bado utafute ufalme wa mbinguni.
Hakika tutaingia mbinguni tukiwa tumechoka sana wallah..😎
Watanzania wengi wanasumbuliwa Sana na ukombozi wa kifikra, Changamoto nyingi Sana za Maisha zinaielemea Jamii kwa sababu ya Elimu Mbovu na Mijiundo ya kiutawala tuliorithi kwa wakoloni! Hii imekua ni dhana mbovu Sana katika kuikwamua jamii katika lindi la umasikini wa fikra, mitazamo na Maisha...
ISMAIL MAYUMBA
Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda.
Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu.
Ukitaka ma...
Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano.
Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation).
Papa anawaambia waumini wa Kikatoliki duniani kutubu dhambi zao na kuomba.
Lakini Mwalimu wa Kiyahudi (Rabbi)...
"Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana....
Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka...
CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani.
Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
1.BIASHARA.
2.MAFANIKIO KATIKA MAISHA.
3.HITIMISHO
1.0.BIASHARA.
Kuna aina mbalimbali za biashara na aina ya ufanyaji biashara zinazoweza kukukuza kiuchumu. Katika andiko hili litakuonyesha ni nini ufanye ili biashara yako iwe na mafanikio makubwa.
1.1. Kupata soko la biashara yako.
Watu wengi...
Niliwahi kusikia mahali kwamba heri masikini na watumwa wao ndo hawanaga stress kama boss eti kwamba matajiri wanateseka sana japo wana hela lakini haziwasaidii kupata furaha Wala kupata usingizi mzuri wala kuwa na amani ya moyo naombeni tu kujua kama ni kweli au ndo zetu maskini kujipaga...
MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU
Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu.
Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao.
Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.