Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k.
===
Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria
Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa, endelea kufanya yote kwa bidii, maarifa bila kusahau kuomba na kushukuru.
Twende kwenye maada...
Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria?
Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
Salaamj Wana JF.
Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania.
Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo.
Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri nzito ndani ya neno sijui na kuna maumivu makali ndani ya neno niko sawa alisema muhenga wa kale...
Habari za asubuhi ndugu zangu wa jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31na mwenye urefu wa cm172 na uzito wa kg 66. Mwaka jana nlikuwa kwenye masailiano ambayo yanahitaji mtu apimwe afya yake.. nilikuwa safi kwa magonjwa yote isipokuwa waligundua pressure yangu ipo juu.
Vipimo vilikuwa...
Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru.
Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
Hivi ni kaadhi ya vitu ambavyo hutakiwa kuvifanya kwenye maisha.
1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile .Jiheshimu na hakikisha heshima yako inabaki kwa kiwango kile kile.
2) Usimdharau yeyote yule kwa sababu ya umbile , rangi yake, kabila, jinsia hata ulemavu wake. Maana...
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu kila wakati kuwa, katika hii duniani ambayo imekuwwpo kwa mamilion ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya zaidi ya teknolojia tu.
Yote yanayotokea leo hii hapa duniani, yamo ya kufananayo katika maandiko matakatifu na yamo pia katika...
Baada ya Uingereza kutangaza Australia kuwa ni koloni lao, walianza kupelekwa wafungwa wa muda mrefu, waliohukumiwa kifo na wale waliofungwa kwenye jela zenye ulinzi mkali.
Walipelekwa pia watoto yatima na wale waliokua chini ya uangalizi wa social system.
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani.
Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
UFUNGUZI WA MKUTANO WA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD.
- "Nimesimama mikutano mingi kuongea na mingine ya kimataifa. Lakini sijaona ugumu kama naouona katika mkutano huu"
- "Enzi za uhai wake, Maalim Seif alikuwa ni makutano ya watu, alikuwa ni kiongozi wa watu na alitokana...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo.
Rais Samia Suluhu Hassan...
Jamani vitu vinazidi kupaa bei kana kwamba hatuna wa kutusemea,jmosi nilinunua cement kwa 20,000/=
Leo nimedamka tena kwenda kununua cha ajabu,imepanda na kufika 21000/=
Sasa najiuliza hii cement nayo inatoka ng'ambo ya nchi? Je shida ni material au mafuta au nini au serikali nayo imeongeza...
Unahitaji Usingizi Wa Saa Ngapi Kwa Siku? Faida Za Usingizi.
Watu wengi wanakibanwa na ratiba ngumu za kazi au wakipatwa na tatizo la kukosa usingizi, huona kuwa kuendelea kuishi kwa kupunguza saa za kulala ndilo suluhisho. Ukweli ni kwamba kupunguza muda wa kulala hata kama ni kwa kiasi kidogo...
Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.
Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa.
Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.