Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃
Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
Kumekuwepo na motivation speaker wengi kuhusu maisha yanapaswa kuendeshwaje? Mbinu za utafutaji na mengine mengi lakini ukweli ni kuwa Kila mtu ana mbinu na mtazamo tofauti ya utafutaji ndo maana biashara nyingi zinazo anzishwa kwa ushabiki ufa muda si mrefu.kilichonora ni kujituma na kumuomba...
Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu:
masomo shuleni
stori kijiweni
habari magazetini
mahubiri ibadani
nk.
Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe.
Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda.
Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume?
Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume.
- wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri.
Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako pia baba yake Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Hans Poppe alizikwa tarehe 26 Mei 1979.
Hans...
Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa
Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu.
Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
Napenda sana kusafiri kujifunza maisha na watu wapoje.
Ila nimejifunza kuhusu maisha ya Mwanza.
Mwanza ni mji ambao kama umechelewa kidogo japo ni mji.unazidi kuongezeka na idadi ya watu kuwa wengi sana.
Kuna maeneo kipindi cha miaka 9 iliyopita ni ngumu kukuta watu,makazi,sehemu za starehee...
Utangulizi
Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio.
Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali.
Tunajua kwamba, vijana wengi...
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.
Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.
Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
Nidhahiri Hali duni ya kimaisha, hasa pale mtu anapougua na hali ya kipato chake cha maisha ni duni. Hii huweza kupelekea kukosa matibabu sahihi kwa wakati na hatimaye kupelekea kupoteza maisha.
Vituo vya afya vya Serikali unaambiwa lipa kwanza upewe huduma, wakati huo mchana MTu hajui atakula...
Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018.
Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo then niajiriwe, kwakweli nilijitahd sana kusoma kwa bidii na namshukuru sana Mungu nilifanikiwa...
Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi.
Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
Mods sitaki mbadili title,
Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.
Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.