maisha

  1. ChrissD

    JamiiForums Tanzania SoC01 Upendo, kusudi la maisha

    Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana. Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...
  2. snap

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kauli "Maisha yenyewe mafupi" huwa ni mabaya

    "Maisha yenyewe mafupi" Sio ajabu kujibiwa hivyo kila Ukileta thread za kuonyesha madhara ya vitu mbalimbali vinavyoharibu na kudhoofisha miili yetu. Tumekuwa watu wakujifariji sana Lakini pale yakikutokea yakukutokea ndo utakapoona umuhimu wa maisha na afya kwa ujumla. Kwa kifupi matokeo ya...
  3. ChrissD

    JamiiForums Tanzania Upendo, kusudi la maisha

    Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana. Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...
  4. nyboma

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  5. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Mijadala katika club house ya Mindset Transformation inaweza kuboresha maisha yako

    Habari za kazi. Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa nashiriki hakika kuna kitu cha tofauti. nimeona nami nishiriki kuwajulisha kwa wanaopenda kushiriki...
  6. Mmakedonia

    JamiiForums Tanzania Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

    Salam ndugu wote wa JF, naomba kufungua uwanja huu nikiwa nimebakiza masaa 96 tu (siku nne) kufikia kilele cha udahili wa vyuo ngazi ya diploma awamu ya pili. Niliomba awamu ya kwanza katika vyuo vya serikali nikakosa, nikasubiri awamu ya pili lakini bahat mbaya vyuo vya serikali vimejaa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siri ya mafanikio katika maisha ya binadamu

    SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi'' Angalia maisha yako. Je, kuna maeneo katika maisha yako hayakufurahishi? Maisha yako ni wajibu wako...
  8. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mitindo ya Maisha na Saratani

    Saratani ya matiti hutokea zaidi kwa wanawake, ingawa WANAUME pia wanaweza kuipata. Watu wengi hawafahamu kama wanaume pia wanayo matiti hivyo wanaweza kupata saratani ya matiti (American Cancer Society, 2020). Andiko hili litaeleza zaidi kuhusu SARATANI YA MATITI; ni nini, mitindo gani ya...
  9. Elly Twix

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mafanikio yapo mikononi mwako

    Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wanaoishia njiani? Kwa nini baadhi ya wajasiriamali wanaanza biashara ndogo na baadae itakuwa na kuwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji

    Kama ilivyo ada Leo nakuja na hizi tafakuri alafu ujitafakari...watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji sana. Hahaha kuna jamaaa nilikutana nae analalamika mpaka analaumu kwanini kazaliwa kwenye ukoo alioko...daaah laana hii..lakini Leo tutafakari je...
  11. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Daraja kati ya Shule, Elimu na Maisha

    Miaka 0-5; umri huu watoto wengi katika jamii zetu huwa bado wapo nyumbani wakijifunza kuongea, kunawa, kula, kutambaa, kutembea, kukimbia, kurukaruka, kucheza na mambo mengine mengi wanayoyahitaji kwa ajili ya kuishi vyema na kwa furaha. Muda huu ni mzuri na wenye kufaa zaidi, kwa sababu mtoto...
  12. baloziwamitaa_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maisha halisi vs maisha ya hadithi

    Naam, tuanze kwa kupeana shule kidogo. Kuna aina mbili za maisha. Maisha ya hadithi na maisha halisi. Maisha ya hadithi ndio yale uliyoambiwa na wale kipindi uko chuo wanapokuelezea jinsi kilimo cha matikiti kinavyolipa. Wanakwambia, ukiwa na milioni moja tu unalima ekari ya matikiti, ukivuna...
  13. Jeef George

    JamiiForums Tanzania Maisha bila umasikini wa fikra

    Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na kuamka katika mafanikio ya utajiri na jamii yenye kipato. Ndimi mwandishi wako Ndugu jeef george JF...
  14. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Nigeria

    Na Edo kumwembe Wanigeria wameshindwa kugawana vyema kile kitu kinachoitwa keki ya taifa. Inaonekana ni taifa la watu wajanja ambao kila mmoja anachukua chake mapema na kuwaacha raia wake wakiwa maskini ingawa inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi imara Afrika. Hauwezi kuliona hilo kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vitu vinavyo wafanya wanachuo wengi kubadili tabia zao

    Wanafunzi wengi wanapokwenda chuo, huwa na mitazamo chanya kabisa juu ya maisha yao ya chuo yatakavyokuwa ikiwa ni pamoja na ndoto hadithi za ndugu na jamaaa marafiki waliowahi kuwa wanachuo kabla yao. Vijana wengi wafikapo vyuoni huwa na adabu na tabia njema, ikiwa ni pamoja na kuhudhuria...
  16. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya Fikra - Amani ya Maisha

    "Amenikosea sana | nimekasirika mno kwa sababu yake | amenikwaza kwa kweli | sikutarajia kama angalinihuzunisha namna hii | amenivunja moyo kabisa | ameniondolea amani yangu" Katika mkoa mmoja, nilikuwa nikitafuta chumba cha kupanga (niliambatana na rafiki zangu wawili). Tulipita nyumba...
  17. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kesi ya Mbowe. Nini kutiliwa maanani?

    Wanabodi, Wanao fuatilia kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe lazima wana fahamu kwamba kuna kushinda na kushindwa. Kushinda kuna ashiria mambo mengi lakini kubwa kuliko lote ni kwamba serikali inafanya kila kilicho ndani ya uwezo wao kuzuia mikutano ya wapinzani ikiwemo mbinu wanazo...
  18. industriousman

    JamiiForums Tanzania SoC01 Deni la milioni 10, halafu maisha hayana formula

    Maisha yako kasi sana na kila kitu kipo ndani ya muda unaweza kulala mchana ukashtuka ni usiku,ukalala usiku ukajashtuka jioni ya siku ya pili yaani dunia inazunguka kwa kasi ukizubaa inakuacha kama ambavyo wasomi wanapishana na MAFANIKIO YA NDOTO ZAO kwa jina la MAISHA HAYANA FORMULAR,huzuni...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Ni hatari Sana KWa mwenye pumzi jitoa hufaham,kisa maisha na anasa za Dunia,Mtajuta siku

    Wakuu Mungu awe pamoja nanyi, Kwenye mada moja kwa moja Tz tupo wazee,vijana wa kike na kiume , ila Kama nguvu KAZI ya Taifa hili ,tumebaki tu, capacity yetu ya kushauri, kuelimisha imebaki tu, tupo Kama mariboti, tumekalia majungu , ubinafsi wa familia zetu ,ndugu ,matumbo yetu badala ya...
  20. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kwa hili bata la leo Dar ni kweli maisha magumu Tanzania?

    Ukiingia Mitandao leo ni full bata Dar karibu yote.. Waliokusanyika bar za nje uwanja wa Taifa Na maeneo mbali mbali leo kusherehekea Simba day ..beer zimeanza asubuhi.. Na Vijana mostly under 30 wamejaza bar karibu zote leo Dar wakitazama kwa TV Na kuanza kunywa beer kuanzia asubuhi .. Hizi...
Back
Top Bottom