maisha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China barani Afrika, waendelea kuchangia maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya watu

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Dstv yangu huu ni mwezi wa 3 nakula maisha

    Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia. Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa. Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
  3. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama huyapati haya, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha

    Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:- Mkeo anakupokea kwa furaha Anakuvua koti Anakuvua viatu na soksi Anakuvua nguo zote Anaenda kukuogesha Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo Anakupatia chakula ukipendacho Anakuliwaza kwa stress...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usiombe hivi vitu viwili (2) vikutokee katika maisha yako

    Usiombe hivi vitu viwili (2) vikutokee katika maisha yako;- Maradhi ya muda mrefu Kesi mahakamani Hivyo vyote viwili, vinamaliza pesa na vinapoteza muda; vinaweza vikakubadilisha ndani ya muda mfupi ukawa masikini/fukara. Na ni mazingira ambayo yatakutambulisha rafiki wa kweli ni yupi, pamoja...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Umachinga haulipi; warudi vijijini kulima maisha yaendelee -- waache kusuguana na serikali

    Wengi wamesema mengi. Wacha nami nitoe ushauri. Kwanza nashangaa imekuwaje serikali yenye nguvu inasitasita kutoa maamuzi ya kimamlaka kushughulikia hawa wanaoitwa wamachinga. Serikali ina vyombo vya dola na mamlaka zote kuhakikisha Machinga wanaondoka maeneo yasiyo halali kufanyia biashara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha kushtukiza: Yote maisha, tusigombane, tuangalie tumejikwaa wapi, turekebishe na maisha yaendelee!

    Chonde chonde wana msimbazi wenzangu, tujiangalie na kujitathmini kwa uwazi, tusiruhusu kugombana, turekebishe na tusonge mbele!! Adui zetu tusiwape faida!! Ila tusifumbie macho udhaifu wa wazi uliopo kwenye timu yote. Tujue tumejikwaa na kukosea wapi! Turekebishane kwa upendo na maisha...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Nadharia ya Ugwekaji" Athari za Ugwekaji katika maisha yetu.

    UGWEKAJI JINSI UNAVYOATHIRI MAISHA YETU. Mwandishi, Robert Heriel 0693322300 Kazi: "Natharia ya UGWEKAJI" Maandiko ya Robert Heriel katika Lugha ya Kiswahili. © 2021 Haki zote ZIMEHIFADHIWA. DONDOO Muhtasari wa Nadharia ya UGWEKAJI UTANGULIZI Ulishawahi kufikiri mtu...
  10. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano maisha yako yote utakuwa mlalamikaji

    Mimi na umri wangu mrefu huu nimegundua kitu. Kuna jamaa zangu walikua wanamlalamikia sana Mkapa wakati ni Rais, alipoingia Kikwete walifurahi mno. Miezi 4 baada ya Kikwete kuapishwa wakaanza kumlalamikia tena. Ikawa hivyo mpaka alipo maliza awamu zake, tena awamu ya pili ndio hali zao zilikua...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam

    Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam. 1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Asilimia kubwa ya wakazi wa Mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mara zote kuwa na shukrani kwa yote uliyonayo maishani

    MARA ZOTE KUWA NA SHUKRANI KWA YOTE ULIYONAYO MAISHANI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Bila Shukrani maisha hayamfai mtu. Hayana maana yoyote, bila Shukrani maisha ni UTUMWA na mzigo mzito wenye maumivu makali mno. Kushukuru ni kuishi, kunamfanya mtu aishi Kwa Raha na furaha. Pasipo kushukuru...
  13. msakhara

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa maisha...

    Maisha ya mtanzania wa kawaida yamekua na mzunguko unaoelekeana sana. Anazaliwa, anakua, anasoma, anapata kazi/biashara, anaoa (anaanza kulalamika majukumu mengi ya familia, anahangaika na kipato na kumridhisha mke na watoto). Anasomesha, anazeeka, anaanza kuwategemea watoto wake. Swali huwa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yetu vikwazo vyetu ni watu wanaotujua

    Watu wanaotujua ni ndugu, jamaa, marafiki, tuliopo nao makazini, majumbani, mitaani na sehemu mbalimbali. Hii huwezi pinga kwa sababu changamoto za maisha na mafanikio ulizo. Asilimia kubwa vikwazo vyetu ni watu wanaotujua na si mtu asiye kujua. Watu wanaotujua ni ngumu sana kukubali kila...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Neno shukrani linafariji na pia ni ishara ya uungwana kwa yule aliyekutendea mambo makubwa katika maisha yako

    Sisi binadamu huwa tunajisahau kushukuru pale tunapotendewa mambo makubwa na watu fulani, tukiamini ilikuwa ni haki yako kutendewa vile. Wapo wanaojengewa nyumba au kupewa maisha mazuri na watu fulani, lakini badala ya wale wanufaika kushukuru, wao wanaona ilikuwa ni lazima au haki yao kuyapata...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Zifahamu siri za maisha

    (Toka mtandaoni) [emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840] [emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286] Siri ya kwanza; [emoji1428]Tengeneza...
  17. inama

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ilivyonibadilisha maisha

    Habari wana JF Mimi ni kijana muhitimu wa chuo katika fani ya ufundi umeme mwaka juzi mkoani Arusha. Nakumbuka mwaka uliopita nilipita Uzi mmoja uhusuo maswala ya wahitimu. Ama kweli JF imebadilisha maisha yangu! Katika ule Uzi kuna mtu mmoja aliquote kwa kushauri wahitimu katika kada ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri ni bahati ila kuwa na maisha Mazur sio

    Mzuka wanajamvi! Wabongo wengi tunatofautisha kuwaTajiri na kuwa na maisha Mazuri ama bora. Wataalamu wa uchumi wanasema Tajiri ni yule ambaye ana utajiri ama hela kwa anzia dollars za kimarekani million moja au kulingana na kiasi hicho. Huyo ni tajiri kwasababu ana 'financial freedom'. Na...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haya maisha bwana, sasa tunywe nini kama soda zinazeesha?

  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Teknolojia imebadili mfumo wa maisha, vijana wa sasa wanashindwa kuandika kwa mkono

    Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea. Vitabu siku hizi wanasoma kwenye kindle. Niliongea na binti...
Back
Top Bottom